chuma_cha_pua
Member
- Sep 28, 2013
- 24
- 12
Mkuu nijuavyo mimi ni kwamba baada ya kwenda CRDB na kupewa form maalum kwaajili ya kuactivate card yako iweze kufanya manunuzi online, wao ndio wataiactivate then watakujulisha, baada ya hapo unaanza manunuzi
Shop online
Wadau msaada wa ku activate card yangu ya visa kwenye website ya crdb,baada ya kuangaika sana kufuatilia waiactivate ili niweze ku purchase vitu online,hatimaye wamenitumia txt kuwa naweza shop online ila natakiwa kui activate kwenye web yao,yaani nimetafuta mahali pa ku activate lakini sijaona,msaada wenu plz.
Kwa nn hukuomba Mastercard?
in short nenda www.crdbank.com>security help>Secure Code/Verfied by VISA
Au angalia direct link niliyompa huyu jamaa Paul S.S
Secure Code/Verified By Visa
Na hiyo Code ukiipoteza shauri yako kila ukitaka kufanya Purchase out PayPal lazima wakuombe sijajua kama ni transaction zote au ni zile za greater 300$
In short mm nilipoteza mpaka sasa nina Criminal suspect pale CRDB nilipigiwa simu nikawafuata wakaniweka kwenye "kanyampasira" na waleo haijafunguliwa hiyo card walau hata kutoa hela ATM
Ukiona umekuwa na mashaka piga customer care
SHARING IS CARING
Asante sana kaka...
hawakuipitisha hiyo form, kuna uzembe wa hali ya juu unafanyika. Nilijaza ikapita week nikatuma taarifa ya tatizo langu support wakaomba detail zangu nikawapa haikupita mda nikapigiwa simu na tawi, kule wanasema wamepoteza fom so i had to fill it out again but again it wasnt activated nikaenda pale Mcity and the card was activated in 10mins hazikupita hata 30mins nikapata text that my card has been enabled for online shopping.kwa experience yangu crdb katika masuala ya online purchasing wako nyuma sana,natumia master card toka nimejaza form sasa karibia mwezi wa 4 kila nikeinda wananiambia this week nitaanza kutumia online mpk nimechoka kufuatilia nina mpango nihamie nbc niwe nafanya online purchasing otherwise crdb wabadilike katika hili.
Kwa nn hukuomba Mastercard?
in short nenda www.crdbank.com>security help>Secure Code/Verfied by VISA
Au angalia direct link niliyompa huyu jamaa Paul S.S
Secure Code/Verified By Visa
Na hiyo Code ukiipoteza shauri yako kila ukitaka kufanya Purchase out PayPal lazima wakuombe sijajua kama ni transaction zote au ni zile za greater 300$
In short mm nilipoteza mpaka sasa nina Criminal suspect pale CRDB nilipigiwa simu nikawafuata wakaniweka kwenye "kanyampasira" na waleo haijafunguliwa hiyo card walau hata kutoa hela ATM
Ukiona umekuwa na mashaka piga customer care
SHARING IS CARING
Mkuu kwani ukiwa na Master Card ya CRDB Bank unaweza kuiactivate online ili niweze kufanya manunuzi online? Mimi zamani nilikuwa natumia VISA kufanya manunuzi online ambayo ime expire mwezi uliopita na sasa nimeomba Master Card.
kwa experience yangu crdb katika masuala ya online purchasing wako nyuma sana,natumia master card toka nimejaza form sasa karibia mwezi wa 4 kila nikeinda wananiambia this week nitaanza kutumia online mpk nimechoka kufuatilia nina mpango nihamie nbc niwe nafanya online purchasing otherwise crdb wabadilike katika hili.
Kwa nn hukuomba Mastercard?
in short nenda www.crdbank.com>security help>Secure Code/Verfied by VISA
Au angalia direct link niliyompa huyu jamaa Paul S.S
Secure Code/Verified By Visa
Na hiyo Code ukiipoteza shauri yako kila ukitaka kufanya Purchase out PayPal lazima wakuombe sijajua kama ni transaction zote au ni zile za greater 300$
In short mm nilipoteza mpaka sasa nina Criminal suspect pale CRDB nilipigiwa simu nikawafuata wakaniweka kwenye "kanyampasira" na waleo haijafunguliwa hiyo card walau hata kutoa hela ATM
Ukiona umekuwa na mashaka piga customer care
SHARING IS CARING
kwa experience yangu crdb katika masuala ya online purchasing wako nyuma sana,natumia master card toka nimejaza form sasa karibia mwezi wa 4 kila nikeinda wananiambia this week nitaanza kutumia online mpk nimechoka kufuatilia nina mpango nihamie nbc niwe nafanya online purchasing otherwise crdb wabadilike katika hili.
NBC hawana huduma kama hiyo!!!! Jaribu exim baank
mkuu naomba kujua...kwani master card ili kufanya manunuzi online ni lazima ujisajili??
mkuu naomba kujua...kwani master card ili kufanya manunuzi online ni lazima ujisajili??
Kadi za NBC wanayo hyo huduma. Kama unayo master card unajisajili paypal bila tatizo lolote. Ukishamaliza unafuata bank statement ili kupata zile code znazotoka paypal. Mimi nilifika tawini kuulizia ila yule customer cara akanambia hyo huduma haipo. Nikaamua kuga cmu huduma kwa wateja wakanambia kama ninayo master card haina haja ya kujaza fomu. Wengi wa customer care hawajui hii coz kadi zmewezeshwa moja kwa moja.
Kama una kadi yako ingia ktk paypal ucheki. Hata mimi walinambia hawana hyo huduma. Ila niliwapgia customer care wakanambia haina haja ya kujaza fomu. Mi nijiunga na paypal kwa ku2mia kadi ya NBC ambayo ni master card. Vle vle kabla cjawacliana na huduma kwa wateja nilshawa2miaga email, nilpoona wamechelewa kujibu ndipo nilipoamua kuwapia. Na hata email. Ilipokuja walisema haina haja ya kujaza fomu. Kama unayo hyo kadi ingia paypal alafu urud ulete majibu.
Offcourse imekubali hiyo verification code unaipataje