ACT yaumbuka Kigoma

ACT yaumbuka Kigoma

Unafanya watu kama hawana akili umepiga barabara halafu unaleta ujinga mkutano gani unafanyikia barabarani.
No hata jana nilipost umu kuwa awa ACT wanafanyia mikutano yao sokoni au stend -sehemu zenye mikusanyiko,wanaogopa kuitisha mikutano kwenye viwanja common kwani hakuna mtu atakwenda
 
Hawa jamaa hawakupima upepo kuhusu siasa za nchi yetu, walikurupuka - ingekuwa ni rahisi hivyo kuanzisha chama cha siasa na kikakubalika basi hata mimi ningekuwa na cha kwangu.

Sasa hapo unategemea kutakuwa na Diwani hata mmoja kweli 2015??? Mwenyekiti mtarajiwa huko uliko tunaomba majibu tafadhali - Maji yanazidi unga huku, itabidi tulalie UJI badala ya UGALI.
 
kina gogo la shamba tulishasema zamani kwamba,ACT haitapata mbunge hata mmoja 2015
 
Kama makao makuu ni hivyo huko kwingine itakuwaje!!!
 
Mpaka kufika uchaguzi hapo mwakani tutaona na kusikia vituko vingi sana
 
Back
Top Bottom