Ally mvano
Member
- Jul 31, 2014
- 73
- 24
We,hapo mkutano umeanza au ?
huoni jamaa jukwaani wakimwaga sera!!!? aaaaah aaaaaah aaaaah
WAPI msalani, ifeero, laki siyo pesa nk.
Njooni mkane hilo jengo haliko kigoma mkane na haya magari ya lumumba yaliyopigwa rangi ya act. Njooni mkane ka alivyofanyia andiko Mwakyembe na yule prof miyemnunua kwa tishio la kumrejesha india.
act ni mchepuko wa ccm.
... Watu Wa Kigoma Ni Waelewa Sana.
Act ni tawi dogo la ccm. A.ka nyumba ndogo ya ccm!
Habari kamili tazama picha ya Leo Kigoma ujiji cine atlasView attachment 182074
kawadanganye misukule wenzako.Habari kamili tazama picha ya Leo Kigoma ujiji cine atlasView attachment 182074
Unafanya watu kama hawana akili umepiga barabara halafu unaleta ujinga mkutano gani unafanyikia barabarani.Habari kamili tazama picha ya Leo Kigoma ujiji cine atlasView attachment 182074
Kumbe hawa wasakatonge wote ni wamoja ?