Blackman
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 848
- 318
ACT Tanzania yaendeleza wimbi la kubomoa ngome za chadema,hapa lushoto Mkoa wa tanga, hii ni baada ya alikuwa mgombea umwenyekiti wa kijiji cha kwembago kurudi act wazalendo. Nimwendelezo wa ACT kukubalika na kuhama ndani ya chadema na vyama visivyo na utetezi wa kweli kwa wananchi. Na pia matusi. Wanachama Zaid wsmechukua kadi na kuamua kurudi kwa wazalendo. Karibuni wananchi wote wapenda mabadiliko.
Endeleni kufuruhi si ndicho mlichokitaka watoto wa panya