ACT yaendelea kubomoa ngome za CHADEMA

ACT yaendelea kubomoa ngome za CHADEMA

Zito ana kesi ya kujibu (awe hai au mfu) huwezi kuwasaliti waliowengi wenye dhiki halafu ubaki salama
 
Hiyo thambi itamtafuna Zzk, najiuliuliza huo uzalendo ni upi? Watanzania muwe makini mno na huyu kijana mtakaomfuata mtaniambia baadae na mtajuta. Maana halisi ya uzalendo ni kumpenda mtanzania na si vinginevyo. Ukiangalia zzk yeye anapambana na watanzania walewale anaosema ni mzalendo kwao. Kumbe uzalendo kumfuata zzk du! Huyu amewekwa kuturudisha nyuma na hawa jamaa wa lumumba.
Tumpuuze tuombe Mungu kuwe na Muungano wa vyama thabiti. Hiki kikundi cha ict wana chuki na watu sijawahiona. Ee Mwenyezi tuepushe na huyu shetani. Naomba kuwaambia tena watanzania wenzangu tujiepushe na hiki kikundi kinachojiita ict. Hakina lengo na Watz. Mungu bariki nchi Yangu Tanzaniana amen.
 
Hebu mnisaidie mie Neutral enyi wenye ACT yenu

ACT imeanzishwa kwa dhumuni LA kupambana na CHADEMA tu? Siwasikii mkiongelea CUF, TLP, CCM wala vyama vinginevyo

Hebu msaada ili nipate benchmark sahihi kupima mafanikio yenu

Bora umesema wewe kiazi, ningesema mimi mhogo ningeonekana nina mzizi katikati! Yote kwa yote watujibu hilo!
 
Zito ana kesi ya kujibu (awe hai au mfu) huwezi kuwasaliti waliowengi wenye dhiki halafu ubaki salama

Unajidanganya dr,Slaa analipwa milioni 12 kwa mwezi pesa za ruzuku, Mbowe ana mahekalu dubai hao ndio wenye dhiki?
 
Mbona mna propaganda kama za CCM nyie watu? Tuwatofautisheje?
 
Chadema ccm wamewashindwa sasa hivi wanapambana na ACT
 
Watu hovyo kama wewe mnazidi kuididimiza ACT. Sijaona chama makini cha upinzani kinajisifu kumbomoa mwenzake. Tumieni akili hata kidogo. Mtajikuta kaburi moja na TLP

Hilo lisikutie hofu, Nashukuru hadi vijijini wanauelewa siku hizi tofauti na nilivyokuwa naelewa mimi!
 
KUMBUKA ZITO NA MBOWE NANI ALIANZA USALITI..? USALITI wa MBOWE ni kunyima demikrasia ya Zitto asiwe mwnyekiti kwa kuwa chadema ni chama cha MBOWE.

Alimnyima vip fafanua
Je.. zitto aligombea mbowe akaiba kura au zitto aligombea mbowe akakata jina lake au alimnyima vipi au ilitaka amwachie kienyeji
 
hivi karibun nitatua JIMBO LA KALENGA-IRINGA KUFYEKA MAPORI NA KUPANDA ACT WAZALENDO
 
hivi karibun nitatua JIMBO LA KALENGA-IRINGA KUFYEKA MAPORI NA KUPANDA ACT WAZALENDO

Hakika mkuu maana kazi kubwa ya ACT ni kuhakikisha wanaisambaratisha CHADEMA.... Hii ndio sababu CCM will rule this country forever hongereni sana....
 
MSINGI MKUU WA ACT WAZALENDO ni kutetea haki za watanzania na kupinga unyonyaji kwa kujikita ktk misingi ya usawa na malengo ya kuondoa CCM madarakan. Na sio kupinga CHADEMA kama unavyodai ila itikadi ya chadema imeacha kuwapigania watanzania ila kazi yake ni kupinga ACT WAZALENDO. Nitoe rai tu chadema hakiwezi kupata umaarufu kwa kuendelea kupinga ACT
 
Napata wakati mgumu sana kuwaelewa Watanzania wenye akili timamu na kuja na kauli za kishabiki hivi. Mtu kama huyu inaonekana ana matatizo fulani ya kukosa independent mind. Leo hii wananchi wanaona umuhimu wa kuwa na vyama vya upinzani wewe unafurahia kuua upinzani. I think there is a big problem
 
Msihangaike wanachadema,Act ni Mkakati uliochini ya Ccm na wagombea Urais wao,msiwaunge mkono acheni wasaliti na wafuata mtu waendelee kukimbizwa huku na kule mwisho wao Oct 2015 ,pale watakapokuwa wamesambaratika
 
Back
Top Bottom