Katibu wa Mambo ya Kigeni wa Chama Cha ACT Ametoa Kauli ya Chama kulaani mamlaka mjini Bujumbura kuingilia Mkutano na chama rafiki Cha bwana Agaton Rwasa Mpinzani Mkuu wa Serikali ya Burundi.
ACT Wazalendo Inatoka Kauli kutaka Serikali iache kufanya vitendo vya uonezi vya kunyanyasa Bwana Rwasa na chama chake ambao ni chama Rafiki wa ACT Wazalendo na juzi Mwenyekiti wa Chama hicho alikuwa ni miongoni mwa wajumbe walioalikwa kushiriki Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha ACT Wazalendo.
View: https://twitter.com/Vicent_Kassala/status/1766726857817264477?t=xZ4bw4UTDDgS5FsLMFRXag&s=19
My Take
ACT Wazalendo kinajielewa ni vile tuu Bado hakina ufuasi mkubwa.