ACT Wazalendo yatafakari kujiondoa SUK

ACT Wazalendo yatafakari kujiondoa SUK

Hii ni baada ya leo chama hicho huko Zanzibar kuagiza kuitishwa vikao vya wanachama ili watafakari Kiburi cha Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi mamluki, Aliyemsaidia kuiba kura 2020.

Mimi binafsi nilipinga ACT wazalendo kujiunga SUK kwa vile nilijua kwamba haya yatatokea lakini nilipuuzwa.
ACT walidangamywa na uislamu wa wenzao........ wakasahau ukweli kuwa CCM ni NYOKA!After all ACT ni hao hao vyama vya kipuuzi
 
Ifike mahali tuwe na utaratibu unaokubalika kwa wote. Mawazo yetu yawe ya kwenda pamoja na siyo kikundi kikundi. Gharama ya kwenda ki vikundi vikundi ndiyo inamtafuna Zito.
CCM inachekelea sana kama vyama hivi vya upinzani vitakuwa vikundi vikundi, Zitto aliona kafika baada ya kuwa na msafara wa magari na mapolice hasa akiwa Zenji - ha ha ha
Jana wamempiga pin ka mkutano kake - kawaka balaa...
 
Hii ni baada ya leo chama hicho huko Zanzibar kuagiza kuitishwa vikao vya wanachama ili watafakari Kiburi cha Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi mamluki, Aliyemsaidia kuiba kura 2020.

Mimi binafsi nilipinga ACT Wazalendo kujiunga SUK kwa vile nilijua kwamba haya yatatokea lakini nilipuuzwa.
Wanatishia ili waitwe mezani.
Badala ya kushughulika na mfumo wao wanashughulika na mtu. Hapo ndipo wanapofeli maana hata kama atawekwa mwingine kwenye hiyo nafasi bado mfumo utamwongoza kufanya sawa na kile kilichofanyika 2020.
 
Hii ni baada ya leo chama hicho huko Zanzibar kuagiza kuitishwa vikao vya wanachama ili watafakari Kiburi cha Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi mamluki, Aliyemsaidia kuiba kura 2020.

Mimi binafsi nilipinga ACT Wazalendo kujiunga SUK kwa vile nilijua kwamba haya yatatokea lakini nilipuuzwa.
Ile ofisi ya chapa ya jogoo Magomeni usalama ni pacha na hao kule Kiembembuzi
 
ACT wazalendo Zanzibar ndiyo Wenye chama kwa sasa hivyo kama watajiondoa SUK basi itakuwa ni pigo kubwa sana kwa ACT wazalendo Tanganyika na Zitto Kabwe
 
Kamwe hao ACT hawawezi jitoa Serikali ya umoja wa Kitaifa huko Zanzibar maana ndiko kula yao iliko. Wanatupigia kelele tu hao.

Kwani wakitaka kujitoa lazima wapige makelele. Mbona walipojiunga walikuwa kimya?
 
Hii ni baada ya leo chama hicho huko Zanzibar kuagiza kuitishwa vikao vya wanachama ili watafakari Kiburi cha Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi mamluki, Aliyemsaidia kuiba kura 2020.

Mimi binafsi nilipinga ACT Wazalendo kujiunga SUK kwa vile nilijua kwamba haya yatatokea lakini nilipuuzwa.

Wakijitoa ndio watafanikiwa zaidii. Wajifunze kwa Odinga kujifanya Rafiki wa serikali mwishowe karumbukia shimoni.
 
Na kwenye hili Wapemba ndio wenye maamuzi, hizo siasa za Zitto kutaka kuwatumia Wapemba kwa kificho cha siasa za kistaarabu litafikia mwisho. Kwa aina ya siasa za Zitto kuwa muumini wa CCM Msoga gang, lazima watafika mahali washindwane na Wapemba.

Naliona Hilo, Zitto alisema Katiba mpya isubiri 2025, ila Ismail Jussa akasema Katiba mpya mchakato uanze Sasa, Zitto akakaa kimya.
 
Hii ni baada ya leo chama hicho huko Zanzibar kuagiza kuitishwa vikao vya wanachama ili watafakari Kiburi cha Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi mamluki, Aliyemsaidia kuiba kura 2020.

Mimi binafsi nilipinga ACT Wazalendo kujiunga SUK kwa vile nilijua kwamba haya yatatokea lakini nilipuuzwa.
wanavuna walichopanda. Unakubali kukaa mezani na adui/mpinzani wako mle chakula pamoja unategemea atakupakulia chakula sawa? anaweza hata akakuwekea sumu
 
Hii ni baada ya leo chama hicho huko Zanzibar kuagiza kuitishwa vikao vya wanachama ili watafakari Kiburi cha Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi mamluki, Aliyemsaidia kuiba kura 2020.

Mimi binafsi nilipinga ACT Wazalendo kujiunga SUK kwa vile nilijua kwamba haya yatatokea lakini nilipuuzwa.
Jana kajipa Ziara huko Tunduru ili kujiweka pembeni ya maamuzi ya Kikao Cha Zanzibar. Msanii sana zito
 
Back
Top Bottom