ACT Wazalendo yatafakari kujiondoa SUK

ACT Wazalendo yatafakari kujiondoa SUK

Kamwe hao ACT hawawezi jitoa Serikali ya umoja wa Kitaifa huko Zanzibar maana ndiko kula yao iliko. Wanatupigia kelele tu hao.

Kwani wakitaka kujitoa lazima wapige makelele. Mbona walipojiunga walikuwa kimya?
Zitto alivuta mpunga mrefu sana kuiingiza ACT kwenye SUT. Mzee Maalim masikini aliingia kwa shingo upande kwa mwenye chama alishaunga juhudi
 
Hii ni baada ya leo chama hicho huko Zanzibar kuagiza kuitishwa vikao vya wanachama ili watafakari Kiburi cha Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi mamluki, Aliyemsaidia kuiba kura 2020.

Mimi binafsi nilipinga ACT Wazalendo kujiunga SUK kwa vile nilijua kwamba haya yatatokea lakini nilipuuzwa.
Zitto hawezi kujitoa hata kwa dawa maana huyu ni chawa wa maza
 
Jamani Zitto hajawahi kuwa kiongozi wa upinzani hata siku moja!
Zitto ni ndumila la kuwili eleweni hilo! kazi yake ni kuuza wenzie na kupeleka siri ccm kwa UJIRA
 
Back
Top Bottom