MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,088 Reaction score 35,418 May 21, 2015 #41 Freeland said: Unajifanya hujui eeeeh...utajua tu ikifika Oktoba Click to expand... Nashukuru kwa kuniotea kwani hayo ndo nilipaswa nikueleze wewe Freeland Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Freeland said: Unajifanya hujui eeeeh...utajua tu ikifika Oktoba Click to expand... Nashukuru kwa kuniotea kwani hayo ndo nilipaswa nikueleze wewe Freeland
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,852 May 21, 2015 #42 Ng'wanapagi said: Sawa na kumshitaki January kwa mzee Makamba. Click to expand... Hah hah haah
M mbeya1 Member Joined May 1, 2015 Posts 69 Reaction score 46 May 21, 2015 #43 tumechoka kukasikia ako Ka kiota...UKAWA ndio habari ya mjini kwa sasa
Y yasin Gahoile Senior Member Joined Apr 4, 2014 Posts 119 Reaction score 20 May 21, 2015 #44 ferre.g said: Mmmh.... Wasaliti mpo kazini... Yaani act na ccm mnawalaghai watanzania kwa kujifanya mmeshitakiwa kumbe maigizo..... Baba na mwana? Click to expand... we hukosagi visingizio kuwa makin utazalishwa pampas shauri lako
ferre.g said: Mmmh.... Wasaliti mpo kazini... Yaani act na ccm mnawalaghai watanzania kwa kujifanya mmeshitakiwa kumbe maigizo..... Baba na mwana? Click to expand... we hukosagi visingizio kuwa makin utazalishwa pampas shauri lako
Y yasin Gahoile Senior Member Joined Apr 4, 2014 Posts 119 Reaction score 20 May 21, 2015 #45 hongera act kwa ushindi tunazid kusonga mbele
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 May 21, 2015 #46 ACT na CCM ni kama chupi na tako, kupelekana mahakamani ni usanii tu wa kuwahadaa watanzania
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 May 21, 2015 #47 MOTOCHINI said: Mwandiga kunawabunge wangapi na mwandiga niwapi! Click to expand... Mpigie kiongozi mkuu wa chama atakuambia mwandiga ni wapi
MOTOCHINI said: Mwandiga kunawabunge wangapi na mwandiga niwapi! Click to expand... Mpigie kiongozi mkuu wa chama atakuambia mwandiga ni wapi
Benjamin Netanyahu JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 362 Reaction score 60 May 21, 2015 #48 Tumbili kamshtaki ngedere hahahaha
Kirikou Wa Kwanza JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 3,564 Reaction score 1,992 May 21, 2015 #49 Habari ya Kigoma kwa sasa ni ACT, hakuna CCM wala UKAWA.
M manga mseke JF-Expert Member Joined Jan 30, 2015 Posts 470 Reaction score 90 May 22, 2015 #50 naminiukia cdm unakua kichaa kabisa naona hua wanpigwa 0713 na dr slaa
Freeland JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 14,481 Reaction score 10,233 May 22, 2015 #51 MOTOCHINI said: Nashukuru kwa kuniotea kwani hayo ndo nilipaswa nikueleze wewe Freeland Click to expand... basi kama wote tunasubiri oktoba...tusubiri usijali...sio mbali
MOTOCHINI said: Nashukuru kwa kuniotea kwani hayo ndo nilipaswa nikueleze wewe Freeland Click to expand... basi kama wote tunasubiri oktoba...tusubiri usijali...sio mbali