ACT-Wazalendo yashinda Lyabusinde Kigoma

ACT-Wazalendo yashinda Lyabusinde Kigoma

Sasa mnachofuraha sn ni nn? Wakat ccm imechukia hapo mnatudanganya tu ccm mtoto wake ni act mko.kitu kimoja tu
 
Hii imekaaje,Ccm kuipeleka ACT mahakamani tena!!.Ndo kusema hata baada ya matokeo ya uchaguzi wa oct.2015 Chadema inaweza kuipeleka C.U.F, NCCR au NLD mahakamani?.Mimi nijuavyo,ushindi wa ACT ni ushindi wa CCM.Period!
Hoja ya msomi wa Tanzania bila hata kufanya utafiti
 
Ungetaja vyama vilivyoshiriki kwenye huo uchaguzi.

Na ni nani aliyepinga hayo matokeo.
 
kumbe hata act wakishinda ccm hukimbilia mahakamani
Ndio uwaeleze kina wafuasi kuwa ACT ni chama si kikundi cha kinafulani wala hakisimami kwa udhamini wa ccm ni porojotu ila muda wataelewa TEAM WAZALENDO
 
Ungetaja vyama vilivyoshiriki kwenye huo uchaguzi.Na ni nani aliyepinga hayo matokeo.
Wewe unayakwako umesha fahamishwa lakini unahoji kitu kingine kipi! ndugu wacha chuki haifai ktk siasa za kileo, TEAM WAZALENDO
 
Back
Top Bottom