ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

Kwenye UDINI ACT kimeonyesha kua ni chama cha Kidini na hilo lipo wazi.
Kiongozi Mkuu wa Chama(Mwislamu) Makamo Mwenyekiti(Mwislamu) Makamu Mwenyekiti Zanzibar(Mwislamu) katika uongozi wa juu Mkiristo ni Mwenyekiti pekee kati ya viongozi 4.

Hiki ni chama cha Siasa ama Kikundi cha Uamsho???

Ni kweli mkuu angalia hawa hapa wa cdm.
Mwenyekit- -mkiristu
Makam-mkiristu
Katibu mkuu- mkiristu
 
Mimi ningekuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa nisingepoteza muda wangu kushughulika na mambo ya chama kingine.Ningetoa ushirikiano kwa mazuri na nisengewatukana au kuwakebehi.
 
Chadema watanzania wameshaisahau, Watanzania wote macho na masikio yao yapo ACT

Sikushangai hata kidogo,hakunaga mwana ccm mwenye akili timamu hata mmoja,alikuwaga hayati Nyerere tu pekee yake,nyinyi wote mliobaki bongo zenu zimejaa funza wa chooni.
 
Hivi kiongozi mkuu ndio cheo gani? anakuwa juu ya mwenyekiti wa chama au?? Hii ACT imeshajifia lets wait n see
 
Mission completed.
Juliana Shonza kuwa msemaji wao na kurugenzi ya habari.
 
mkuu zitto ndo mmiliki wa chama, hakukuwa na haja ya kuweka jina lake.

Sasa Zitto angesema tu toka mwanzo kuwa Yeye ndiye mmiliki, mwanzilishi, mfadhili na mfalme wa ACT ili wanachama wake wajue na wakosoaji wakae kimya. Sasa hii si aibu ya ajabu kabisa katika siasa za Tanzania.
 
Zitto ndio aliipa CHADEMA umaarufu....na ni Zitto huyu huyu ndiye ataipa ACT umaarufu na kufanya chama kiaminiwe na Watanzania wote.

Zitto ni asset ya muhimu katika siasa za hapa TZ. This is the ugly truth for CDM funs.

Kweli wewe ni zero kama ID yako
 
Back
Top Bottom