Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,815
- 218,478
Kwamba kwenye nchi hii sheria ya Wagombea binafsi haipo na ni lazima wagombea wa nafasi za kisiasa wapate udhamini wa Chama cha siasa , na kwa vile hakuna pahala ndani ya Katiba paliporuhusu wagombea wa vyama vilivyojitoa kugeuzwa wagombea binafsi , basi haitarajiwi wale wagombea wote waliodhaminiwa na chama cha cha ACT wazalendo kuwemo kwenye karatasi za kupigia kura maana chama chao kimejitoa .