ACT - Wazalendo yamuonya Jafo kutothubutu kuchapisha majina ya waliokuwa wagombea wake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,179
217,131
_Tunamuonya Waziri wa TAMISEMI Ndugu Suleiman Jafo aache mara moja mpango wake w ( 426 X 640 ).jpg


Kwamba kwenye nchi hii sheria ya Wagombea binafsi haipo na ni lazima wagombea wa nafasi za kisiasa wapate udhamini wa Chama cha siasa , na kwa vile hakuna pahala ndani ya Katiba paliporuhusu wagombea wa vyama vilivyojitoa kugeuzwa wagombea binafsi , basi haitarajiwi wale wagombea wote waliodhaminiwa na chama cha cha ACT wazalendo kuwemo kwenye karatasi za kupigia kura maana chama chao kimejitoa .
 
Sawa mkuu..hivi waliandikiwa barua ya kushiriki?
Acha ujinga wewe unaitwa kwenye kuomba kazi kwa tangazo sio kwa barua ila wewe ndiye unayetakiwa kuandika barua ya kuomba kazi na pua ukitaka kuacha wewe pia ndio unaandika barua ya kuacha kazi.

Ukifukuzwa kazi ndipo mwajiri wako anatakiwa akupe barua ya kuachishwa kazi na certificate of service.
 
Back
Top Bottom