ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 610
- 1,540
Tumepokea Taarifa kuwa Jeshi la Polisi limevamia Ukumbi wa Msimbazi Center, Dar es salaam na kuzuia kikao Cha Kamati Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi kisifanyike kwa kisingizio cha tahadhari ya ugonjwa wa Uviko 19.
Chama kinalaani vikali hatua hii ya Jeshi la Polisi ambayo ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya Vyama vya Siasa.
Ni jambo linalosikitisha kuwa wakati Jeshi la Polisi likizuia shughuli halali za Vyama vya Siasa vya Upinzani kwa sababu mbalimbali ikiwemo Uviko 19, Matamasha ya Michezo Nchini yanaendeleaje pomoja na CCM kufanya shughuli zao ikiwemo vikao vya ndani na mikutano ya hadhara bila ya kuzuiwa utadhani wao ni malaika wasioweza kuugua wala kuambikiza Uviko 19.
WITO WETU:
Jeshi la Polisi lifanye kazi zake kwa weledi, haki na usawa. Jeshi liache kutumika kisiasa kwa kuipendelea CCM na kuvikandamizaView attachment 1912916
Kama matamko ya vyama ndugu yanatoka kweli mioyoni mwao ni jambo jema,ila kama ni katika kutafuta uwiano/justification itakapofika zamu ya chama hasimu kule mara.Tutajulia huko huko.Tumepokea Taarifa kuwa Jeshi la Polisi limevamia Ukumbi wa Msimbazi Center, Dar es salaam na kuzuia kikao Cha Kamati Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi kisifanyike kwa kisingizio cha tahadhari ya ugonjwa wa Uviko 19.
Chama kinalaani vikali hatua hii ya Jeshi la Polisi ambayo ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya Vyama vya Siasa.
Ni jambo linalosikitisha kuwa wakati Jeshi la Polisi likizuia shughuli halali za Vyama vya Siasa vya Upinzani kwa sababu mbalimbali ikiwemo Uviko 19, Matamasha ya Michezo Nchini yanaendeleaje pomoja na CCM kufanya shughuli zao ikiwemo vikao vya ndani na mikutano ya hadhara bila ya kuzuiwa utadhani wao ni malaika wasioweza kuugua wala kuambikiza Uviko 19.
WITO WETU:
Jeshi la Polisi lifanye kazi zake kwa weledi, haki na usawa. Jeshi liache kutumika kisiasa kwa kuipendelea CCM na kuvikandamizaView attachment 1912916
Mama ameporwa nchi.Sawa... Mama amewasikia atachukua hatua hivi punde
+Akinaenisisiara mageuzoACT wazalendo hamna moral authority ya kulaani vitendo vya hovyo wanavyofanya hawa Polisi-CCM dhidi ya wananchi wema wa Taifa hili kwa sababu viongozi wenu mchana wanakuwa ACT halafu usiku wanakuwa CCM.Shame to you all!
Ninyi ACT wazalendo ni tawi la chama cha mapinduzi na mnashiriki indirectly katika maovu yote ambayo CCM wanawafanyia wananchi wema wa nchi hii kupitia Polisi.
🤣🤣🤣+Akinaenisisiara mageuzo
ACT wazalendo hamna moral authority ya kulaani vitendo vya hovyo wanavyofanya hawa Polisi-CCM dhidi ya wananchi wema kwa sababu viongozi wenu mchana wanakuwa ACT halafu usiku wanakuwa CCM.Shame to you all!
Ni kweli waliuawa lakini kiongozi wao mkuu wa chama usiku anakuwa CCM kwa maslahi yake binafsi na hili wanachama wengi wa ACT wazalendo wala hawalijui...unawaonea ACT.
..wanachama wa ACT wameuwawa na polisi ktk uchaguzi mkuu wa 2020.
NB.
..Jaji Aboubakar Khamis mjumbe wa kamati kuu ya ACT aliuwawa na Polisi ktk uchaguzi wa 2020.
Ni kweli waliuawa lakini kiongozi wao mkuu wa chama usiku anakuwa CCM kwa maslahi yake binafsi na hili wanachama wengi wa ACT wazalendo wala hawalijui.
Huwa anatumika na maCCM kukiuza chama.Ni msaliti namba moja wa ACT wazalendo.
Tumepokea Taarifa kuwa Jeshi la Polisi limevamia Ukumbi wa Msimbazi Center, Dar es salaam na kuzuia kikao Cha Kamati Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi kisifanyike kwa kisingizio cha tahadhari ya ugonjwa wa Uviko 19.
Chama kinalaani vikali hatua hii ya Jeshi la Polisi ambayo ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya Vyama vya Siasa.
Ni jambo linalosikitisha kuwa wakati Jeshi la Polisi likizuia shughuli halali za Vyama vya Siasa vya Upinzani kwa sababu mbalimbali ikiwemo Uviko 19, Matamasha ya Michezo Nchini yanaendeleaje pomoja na CCM kufanya shughuli zao ikiwemo vikao vya ndani na mikutano ya hadhara bila ya kuzuiwa utadhani wao ni malaika wasioweza kuugua wala kuambikiza Uviko 19.
WITO WETU:
Jeshi la Polisi lifanye kazi zake kwa weledi, haki na usawa. Jeshi liache kutumika kisiasa kwa kuipendelea CCM na kuvikandamizaView attachment 1912916
Uhakika huo huna Bali ni ngoma za ccm kutaka kuutawanya upinzaniNi kweli waliuawa lakini kiongozi wao mkuu wa chama usiku anakuwa CCM kwa maslahi yake binafsi na hili wanachama wengi wa ACT wazalendo wala hawalijui.