ACT Wazalendo ni chama sindikizi

ACT Wazalendo ni chama sindikizi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,278
Reaction score
13,920
ACT Wazalendo ni chama sindikizi. Hiki chama hakitaweza kuongoza dola kwasababu kinategemea dola hiyo hiyo na viongozi wa chama nao maisha yao wanategemea dola. Hawataweza kudai vizuri mabadiliko kwasababu kwa naomna nyingine wanategemea pesa kutoka kwa hao hao watu wa mfumo. Lakini ni chama chenye usultani mwingi na wanapenda kujitanua huyu yule makamu wa zanzibar hawezi kukaa jela hata siku moja ni walaini walaini sana. Kinacho fanya ACT wazalndo kutokufanikiwa ni Wanzanzibari waliopo kwenye chama hicho. Ndiyo maana hata siku moja hawataweza kuwa kama Chadema kwenye mioyo ya watu
Yaani wanapigania nafasi ya pili!!!
 
Sawa chambuzi la mchongo wamekusikia
 
Mtaingia kwenye mchongo kama ni wajinga jinga. Chauma na ACT wazalendo ni CCM
 
CDM,CCM, Simba, Yanga hivi vutu vinatuchelewesha sana

2013 ZZK alifukuzwa na FAM, CDM kisa Waraka wake waliotafsiri unania ya kumpindua FAM...2015 CDM wakampokea Lowasa kutoka kwa CCM na kumtunuku Kiti cha kugombea Urais ZZK alianzisha chama chake bila msaada wowote Leo wanatrend zaidi ya CDM...CDM tena wanaanza chokochoko kwamba ACT ni CCM B hakika Nyani haoni mndukule
 
2013 ZZK alifukuzwa na FAM, CDM kisa Waraka wake waliotafsiri unania ya kumpindua FAM...2015 CDM wakampokea Lowasa kutoka kwa CCM na kumtunuku Kiti cha kugombea Urais
Na Mbowe tukaambiwa ni mpinzani pekee asiyenunulika, leo tunaambiwa ni mamluki wa Abdul na ccm.
 
Na Mbowe tukaambiwa ni mpinzani pekee asiyenunulika, leo tunaambiwa ni mamluki wa Abdul na ccm.

Tatizo la mbowe sio pesa ni kupenda na kuamini ni lazima awe yeye ni kama kikwete anataka kuwa kwenye stage kila siku
 
Back
Top Bottom