PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Siasa ni game, act ni player... Funded by other politicians, wakichokwa watatoswa Kama mrema alivyotoswaWakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.
Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.
Kama zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi?
Wadhamini wa chama ni akinanani?
Kama mtanzania nahitaji majibu?
huoni hata aibu mkuu?!,inamaana hivyo vyama vingine havina wanachama? Chukulia udp na tlpmkuu acheni kutafuta visingizio,.......michango ya wanachama na wapenzi wa wachama inatosha kuendesha hiyo mikutano, pia kuna huduma ya vodacom abayo mtu yoyote anaweza kuomba tune ya chama na akachangia kidogo kama 200...mdogo mdogo mambo yanakaa sawa.
si vibaya tukawafahamu hao wanaochangia,kama wameamua kuwa wawazi kama zitto anavyojinadi, kunaubaya gani kuliweka hili wazi.siasa ni game, act ni player... Funded by other politicians, wakichokwa watatoswa kama mrema alivyotoswa
Wana visima vinaitwa hazina na kingine kinaitwa Rostam Aziz, wanajichotea tu za kutosha. Kamwe hawawezi kuelezea vyanzo vyao vya mapato halali kwa sababu hakuna kitu kama hicho.
siwezi kujiunga na chama ambacho hakikowazi kwenye mapato yao,ungana na wazalendo kwenye mkutano unaofanyika katika viwanja vya furahisha mwanza live kupitia rfa kuanzia saa 11
act wazalendo, taifa kwanza, turudi kwenye misingi
siwezi kujiunga na chama ambacho hakikowazi kwenye mapato yao,
huoni hata aibu mkuu?!,inamaana hivyo vyama vingine havina wanachama? Chukulia udp na tlp
Jihadhari na sheria mpya, huenda imeshasainiwa.
sijui mkuu nielewesheanyway unajua ni pesa kiasi gani inahitajika kwa kuendesha mkutano mmoja?
kwa pesa zipi mkuu, hata alshabab wana pesa na zinatumika kama mnavyoona kenyaact wazalendo, taifa kwanza, turudi kwenye misingi
Acha kutisha watu wewe!
Acha kutisha watu wewe!
Mkuu BAK , nilikua nakutahdharisha tu kuwa uwe makini. Hata kama unapishana kimawazo na ZZK, lakini jamaa kwa sasa ndio habari ya mujini. Tuungane nae kuleta mabadiliko ya kweli.
kumbe unamjua na anaetoa, kwanini act hamtaki kutaja anaewapa pesa,mbona chadema alipewa mil 100 na muhindi wa ccm?? Kuna kosa act wakopewa???