ACT-Wazalendo Mkoani Lindi wazuiwa kumuombea Dua aliyekuwa Mwenyekiti wao Maalim Seif kisa Maombolezo ya Hayati Magufuli

Huyu SSP Mbogo anadhan Khitma ni kama Fiesta!

Angezuia basi na watu kufa hadi Maombolezi yaishe

Serikal yenyewe inaendelea na mambo yake kama kawaida na vigelegele kama kawaida wakati anaapishwa Mama Mulamula Bungen na wengineo
 
Huyu SSP Mbogo anadhan Khitma ni kama Fiesta!

Angezuia basi na watu kufa hadi Maombolezi yaishe

Serikal yenyewe inaendelea na mambo yake kama kawaida na vigelegele kama kawaida wakati anaapishwa Mama Mulamula Bungen na wengineo
Hakika ni full kujichanganya
 
Ndio maana nilisema siku 21 aa maombolezo ni nyingi mno.

Hata hivyo,sioni logic ya kuzuia kumuombea marehemu mmoja kisa kuombolezo kifo cha marehemu mwingine.
 
Polisi wanataka kumchonganisha Mama na raia tu,hicho kisomo ni ibada sasa kama Serikali inafikia hatua ya kuingilia Imani za watu wake hiyo ni hatari nyingine mpyaaaaah!!
Kwani ACT ni chama cha kidini? hadi kiendeshe maombi ya kidini?
 
Yoote hayo ni kwa kumfurahisha nani haswaa?
Vyama vya upinzani ni vya wajinga wakubwa na hatukujua kama Tanzania kuna wajinga wengi kiasi hiki,,sasa mnachomekea dua au upuuzi wa maombi ya mwenyekiti wa saccos ili mjipime na maombolezo ya aliyekuwa kiongozi wa taifa hata kama hamkumpenda na kumkubali kama alikuwa pia shujaa wa africa msiba huu ni wa kitaifa msituletee ujinga wenu na mkitaka kafanyeni hiyo dua ujerumani kwa wafadhili wenu na msisahau kurudi na gays-lotion za kusaidia gays kusukumana choo smoothly ,,, mkomeeee
 
Back
Top Bottom