ACT-Wazalendo Mkoani Lindi wazuiwa kumuombea Dua aliyekuwa Mwenyekiti wao Maalim Seif kisa Maombolezo ya Hayati Magufuli

chuki na wivu ndiyo vinawasumbua ila ukweli ndio huo,,, africa na dunia ya wasomi wa kiafrica ila cha ajabu walionunua mitihani tanzania ndiyo hawauoni ukweli poleni sana ila tunajua ndani ya roho zenu mnauona ukweli ,,, kwa sababu ya ufinyu wa kisomo cenu na chuki ndiyo vinafanya mnapinga kila kitu
Shujaa wa koromitje
 
Chama cha ACT-Wazalendo mkoani Lindi kimesitisha shughuli ya Maombi ya kumuombea alieykuwa mwenyekiti wao ambaye alifariki Februari 17, 2021.

Hali imetokea baada ya kuomba kibali kwa Jeshi la Polisi mkoani Lindi na kunyimwa, huku sababu kuu iliyoelezwa ni tupo kwenye kipindi cha siku 21 cha maombolezo ya kitaifa.

Je, kipindi hiki ina maana hata kufanya dua tu inakatazwa?

OMBI: Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan ikikupendeza fumua jeshi la Polisi kuanzia kule Juu mpaka wakuu wa Polisi Mikoa na Wilaya, hawa wanakutengenezea na wataendelea kukutengenezea chuki kubwa sana dhidi ya Wananchi.

View attachment 1740925

Mama asipoangalia pana watu wana mpango wa kumharibia mambo kinyemela.
 
Ndio maana Hadi unafikisha miaka 50 huna mke.

Hakuna mwanamke anaejielewa akakubali kuolewa na mtu mpuuzi sampuli yako.

kazi unayo na asante kwa hongera zako in fact I'm happily married now since 2017 you might have missed out sorry
 
mtu mpuuzi kama mimi ?? extremely educated and academically sound in a dream but finding time to talk to you toy people!!! poleni sana
 
Vyama vya upinzani ni vya wajinga wakubwa na hatukujua kama Tanzania kuna wajinga wengi kiasi hiki,,sasa mnachomekea dua au upuuzi wa maombi ya mwenyekiti wa saccos ili mjipime na maombolezo ya aliyekuwa kiongozi wa taifa hata kama hamkumpenda na kumkubali kama alikuwa pia shujaa wa africa msiba huu ni wa kitaifa msituletee ujinga wenu na mkitaka kafanyeni hiyo dua ujerumani kwa wafadhili wenu na msisahau kurudi na gays-lotion za kusaidia gays kusukumana choo smoothly ,,, mkomeeee
Afrika ya ipi! Ya chato au
 
Chama cha ACT-Wazalendo mkoani Lindi kimesitisha shughuli ya Maombi ya kumuombea alieykuwa mwenyekiti wao ambaye alifariki Februari 17, 2021.

Hali imetokea baada ya kuomba kibali kwa Jeshi la Polisi mkoani Lindi na kunyimwa, huku sababu kuu iliyoelezwa ni tupo kwenye kipindi cha siku 21 cha maombolezo ya kitaifa.

Je, kipindi hiki ina maana hata kufanya dua tu inakatazwa?

OMBI: Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan ikikupendeza fumua jeshi la Polisi kuanzia kule Juu mpaka wakuu wa Polisi Mikoa na Wilaya, hawa wanakutengenezea na wataendelea kukutengenezea chuki kubwa sana dhidi ya Wananchi.

View attachment 1740925
Wamesahau kwamba mpenda masifa Yesu wa Ccm na kina Lugola amesha kufa.. Subiri watajitokeza sio muda mrefu kusema hamkuwaelewa.
 
Chama cha ACT-Wazalendo mkoani Lindi kimesitisha shughuli ya Maombi ya kumuombea alieykuwa mwenyekiti wao ambaye alifariki Februari 17, 2021.

Hali imetokea baada ya kuomba kibali kwa Jeshi la Polisi mkoani Lindi na kunyimwa, huku sababu kuu iliyoelezwa ni tupo kwenye kipindi cha siku 21 cha maombolezo ya kitaifa.

Je, kipindi hiki ina maana hata kufanya dua tu inakatazwa?

OMBI: Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan ikikupendeza fumua jeshi la Polisi kuanzia kule Juu mpaka wakuu wa Polisi Mikoa na Wilaya, hawa wanakutengenezea na wataendelea kukutengenezea chuki kubwa sana dhidi ya Wananchi.

View attachment 1740925
Bado wako na hangover ya jiwe. Ikiwatoka wataacha ujinga.
 
Wangepiga dua ya Maalim na Magufuli.
Kwani kafa Maalim peke yake?
 
Utakuwa ulipewa talaka na Lissu, Lissu ameingiaje ya Lindi! Acha kuwashwawashwa.

Katiba hairuhusu wanaume kusukumana choo au huzungumzii katiba ya tanzania ila ya Ubelgiji na ya Ujerumani labda inazungumzia na kufafanua juu ya haki za kusukumana choo na kiukweli wasukumana choo huwa hatutarikiani ni kuingia ubalozini tu kisha pipa for free cos we facilitate for our loved ones hahhaaa
 
Mtoa tarifa hizo abadirishe tu ule muda wa kwenda kuomba hicho kibali ili wapewe, Maana huwenda kipindi anakwenda kituoni, kamkuta mkuu wa police ndo katoka kunyang'anyana bunduki na lijambazi, matokeo yake ndio hayo!

Katoa maamuzi akidhani Bado yupo kwenye Hali ya kunyang'anyana bunduki na jambazi
Oops!!!!
 
Back
Top Bottom