Soma katiba acha kushikiwa akili za Lissu.Yoote hayo ni kwa kumfurahisha nani haswaa?
Polisi wanataka kumchonganisha Mama na raia tu,hicho kisomo ni ibada sasa kama Serikali inafikia hatua ya kuingilia Imani za watu wake hiyo ni hatari nyingine mpyaaaaah!!Watumie busara wafanye baada ya siku 21 za maombelezo. La sivyo watauona mziki wa Mama Samia.
Sihangaishwi na watu wa aina yakoSoma katiba acha kushikiwa akili za Lissu.
Hii serikali sijui kwanini wanashindwa kujizuia kuingilia uhuru wa watu wa kuabuduPolisi wanataka kumchonganisha Mama na raia tu,hicho kisomo ni ibada sasa kama Serikali inafikia hatua ya kuingilia Imani za watu wake hiyo ni hatari nyingine mpyaaaaah!!
uhuru waa kuabudu una mipaka, ndio maana watu wanataka chadema ijitenganishe na kanisa la kilutheli.Polisi wanataka kumchonganisha Mama na raia tu,hicho kisomo ni ibada sasa kama Serikali inafikia hatua ya kuingilia Imani za watu wake hiyo ni hatari nyingine mpyaaaaah!!
Mkuu wa kike, hebu tuwee hapa kifungu cha katiba kinachozuia ibada katika maombolezo au katika kipindi chochote kile.Soma katiba acha kushikiwa akili za Lissu.
Maombolezo ya nani? Kama ni huyo dikteta uchwara ameshakufa tayari! Na ukishakufa ndiyo basi tena. Haisaidii chochote.Watumie busara wafanye baada ya siku 21 za maombelezo. La sivyo watauona mziki wa Mama Samia.
Tii sheria bila shurti, la sivyo utapigwa uchakae.Maombolezo ya nani? Kama ni huyo dikteta uchwara ameshakufa tayari! Na ukishakufa ndiyo basi tena. Haisaidii chochote.
Wee mataga hizi sio enzi za praise embu jishughulishe na ndoa yako kwanzauhuru waa kuabudu una mipaka, ndio maana watu wanataka chadema ijitenganishe na kanisa la kilutheli.
Atanipiga nani! Unadhani kila mtu unaweza ukampiga tu kirahisi? Yaani tuache kufurahia maisha kwa sababu kuna mtu mmoja huko wapi sijui, kafa!! Ujinga kabisa. Mimi naendelea na maisha kama kawaida!Tii sheria bila shurti, la sivyo utapigwa uchakae.