tangu lini wewe ukawa na mapenzi mema na ACT? kama manager campaign wetu ana matatizo si ndio safi ili nyie UKAWA mchukue nchi!
unahangaika na lugha alimalizia nayo ukuona ilivyokanushwa na kiongozi wetu wa chama!?
Jambo moja la uhakika naweza kusema umechanganyikiwa na hotuba ya change with contents