Soma hiyoACT ndio inaoongoza kwa wagombea wake wote kujaza fomu vibaya kuliko Chama chochote Cha siasa
Wagombea wake wamejaza kuwa wanagombea kupitia Chama Cha ACT wazalendo.Ambacho hakisajiliwa kwa msajili wa vyama vya siasa.Hakuna Chama chenye jina la ACT wazalendo kwa msajili Wala hakuna hati ya usajili wa Chama waliyopewa yenye jina la ACT wazalendo
Hakuna Chama kilichosajiliwa kinachoitwa ACT wazalendo.
Chama kilichosajiliwa kinaitwa Alliance for CHange and Transparency au kifupi ACT .
Ndivyo hata kwenye katiba kinavyotambulika. Kwa mujibu wa kifungu Cha kwanza Cha katiba ya ACT
Wagombea wake Wote wamejaza jina la Chama kwa kuandika ACT wazalendo na mihuri waliyogongewa inasomeka ACT wazalendo Chama kisichokuwepo
Zitto Kabwe anatangaza wanajitoa lakini Chama chake yeye ndie kawakosesha wote.Wote maskini walikuwa wakijua Chama Chao kinaitwa ACT wazalendo Zitto.kawabwaga wote mchana kweupe.Kaifungia CCM goli.
Kujitoa ni.porojo wameshindwa kujaza fomu.vizuri
Akitangaza kuwa ACT wazalendo inajitoa atakuwa Yuko sahihi sababu ACT wazalendo hakijasaliwa.Na hakina hati ya usajili yenye jina ACT wazalendo
Ngoja tumsikie kwa mdomo.wake anaongelea Chama kipi ACT au ACT wazalendo.Waandishi wa habari tegeni masikio vizuri mtuambie anaongelea ACT au ACT wazalendo
Poor argument only from a poor mind.ACT ndio inaoongoza kwa wagombea wake wote kujaza fomu vibaya kuliko Chama chochote Cha siasa
Wagombea wake wamejaza kuwa wanagombea kupitia Chama Cha ACT wazalendo.Ambacho hakisajiliwa kwa msajili wa vyama vya siasa.Hakuna Chama chenye jina la ACT wazalendo kwa msajili Wala hakuna hati ya usajili wa Chama waliyopewa yenye jina la ACT wazalendo
Hakuna Chama kilichosajiliwa kinachoitwa ACT wazalendo.
Chama kilichosajiliwa kinaitwa Alliance for CHange and Transparency au kifupi ACT .
Ndivyo hata kwenye katiba kinavyotambulika. Kwa mujibu wa kifungu Cha kwanza Cha katiba ya ACT
Wagombea wake Wote wamejaza jina la Chama kwa kuandika ACT wazalendo na mihuri waliyogongewa inasomeka ACT wazalendo Chama kisichokuwepo
Zitto Kabwe anatangaza wanajitoa lakini Chama chake yeye ndie kawakosesha wote.Wote maskini walikuwa wakijua Chama Chao kinaitwa ACT wazalendo Zitto.kawabwaga wote mchana kweupe.Kaifungia CCM goli.
Kujitoa ni.porojo wameshindwa kujaza fomu.vizuri
Akitangaza kuwa ACT wazalendo inajitoa atakuwa Yuko sahihi sababu ACT wazalendo hakijasaliwa.Na hakina hati ya usajili yenye jina ACT wazalendo
Ngoja tumsikie kwa mdomo.wake anaongelea Chama kipi ACT au ACT wazalendo.Waandishi wa habari tegeni masikio vizuri mtuambie anaongelea ACT au ACT wazalendo
Bring yoursPoor argument only from a poor mind.
Mleta mada chek jiina la Chama limeandikwaje limeandikwaje ACT sio ACT wazalendo usichanganye na bendera .Haikukosewa.Mgombea Chama atokacho kimetajwa wazi kwenye karatasi ya kupiga kura kuwa ni ACT sio ACT wazalendo
Wewe huna faida yoyote hata Kwa wazazi wako walijua wamepata kidume cha mbegu kumbe ni kipokeleo cha mbegu za vidume vya ukweli.Wajitoe wote tu! Hatuoni faida yao kwa watz!
Katika mtazamo wa kisheria, hutanguliwa na dhamira. Kama dhamira njema ikiwepo, mtu kama ikitokea hata amekosea, jasa kama ni error na siyo blunder, aliyekosea huelekezwa na siyo kuchukuliwa kama nafasi ya kumkomoa. Ndiyo maana tunasema hao watendeji ni mawakala wa shetani.Bring yours
Mbona kama vile ni povu?ACT ndio inaoongoza kwa wagombea wake wote kujaza fomu vibaya kuliko Chama chochote Cha siasa
Wagombea wake wamejaza kuwa wanagombea kupitia Chama Cha ACT wazalendo.Ambacho hakisajiliwa kwa msajili wa vyama vya siasa.Hakuna Chama chenye jina la ACT wazalendo kwa msajili Wala hakuna hati ya usajili wa Chama waliyopewa yenye jina la ACT wazalendo
Hakuna Chama kilichosajiliwa kinachoitwa ACT wazalendo.
Chama kilichosajiliwa kinaitwa Alliance for CHange and Transparency au kifupi ACT .
Ndivyo hata kwenye katiba kinavyotambulika. Kwa mujibu wa kifungu Cha kwanza Cha katiba ya ACT
Wagombea wake Wote wamejaza jina la Chama kwa kuandika ACT wazalendo na mihuri waliyogongewa inasomeka ACT wazalendo Chama kisichokuwepo
Zitto Kabwe anatangaza wanajitoa lakini Chama chake yeye ndie kawakosesha wote.Wote maskini walikuwa wakijua Chama Chao kinaitwa ACT wazalendo Zitto.kawabwaga wote mchana kweupe.Kaifungia CCM goli.
Kujitoa ni.porojo wameshindwa kujaza fomu.vizuri
Akitangaza kuwa ACT wazalendo inajitoa atakuwa Yuko sahihi sababu ACT wazalendo hakijasaliwa.Na hakina hati ya usajili yenye jina ACT wazalendo
Ngoja tumsikie kwa mdomo.wake anaongelea Chama kipi ACT au ACT wazalendo.Waandishi wa habari tegeni masikio vizuri mtuambie anaongelea ACT au ACT wazalendo
Hayo yote ya ACT kuongoza umeyajuaje, wewe ni msimamizi wa uchaguzi huuACT ndio inaoongoza kwa wagombea wake wote kujaza fomu vibaya kuliko Chama chochote Cha siasa
Wagombea wake wamejaza kuwa wanagombea kupitia Chama Cha ACT wazalendo.Ambacho hakisajiliwa kwa msajili wa vyama vya siasa.Hakuna Chama chenye jina la ACT wazalendo kwa msajili Wala hakuna hati ya usajili wa Chama waliyopewa yenye jina la ACT wazalendo
Hakuna Chama kilichosajiliwa kinachoitwa ACT wazalendo.
Chama kilichosajiliwa kinaitwa Alliance for CHange and Transparency au kifupi ACT .
Ndivyo hata kwenye katiba kinavyotambulika. Kwa mujibu wa kifungu Cha kwanza Cha katiba ya ACT
Wagombea wake Wote wamejaza jina la Chama kwa kuandika ACT wazalendo na mihuri waliyogongewa inasomeka ACT wazalendo Chama kisichokuwepo
Zitto Kabwe anatangaza wanajitoa lakini Chama chake yeye ndie kawakosesha wote.Wote maskini walikuwa wakijua Chama Chao kinaitwa ACT wazalendo Zitto.kawabwaga wote mchana kweupe.Kaifungia CCM goli.
Kujitoa ni.porojo wameshindwa kujaza fomu.vizuri
Akitangaza kuwa ACT wazalendo inajitoa atakuwa Yuko sahihi sababu ACT wazalendo hakijasaliwa.Na hakina hati ya usajili yenye jina ACT wazalendo
Ngoja tumsikie kwa mdomo.wake anaongelea Chama kipi ACT au ACT wazalendo.Waandishi wa habari tegeni masikio vizuri mtuambie anaongelea ACT au ACT wazalendo
Malalamiko toka kwa wagombea walioenguliwaHayo yote ya ACT kuongoza umeyajuaje, wewe ni msimamizi wa uchaguzi huu
Kujaza fomu za ugombea kinachoangaliwa ni kanuni sio dhamira isiyoonekana kanuni zenyewe hizi hapaKatika mtazamo wa kisheria, hutanguliwa na dhamira. Kama dhamira njema ikiwepo, mtu kama ikitokea hata amekosea, jasa kama ni error na siyo blunder, aliyekosea huelekezwa na siyo kuchukuliwa kama nafasi ya kumkomoa. Ndiyo maana tunasema hao watendeji ni mawakala wa shetani.
Watu wengi wenye elimu ndogo, weledi mdogo na wasiojitambua wamejaa CCM. Kwa nini hayo makosa yasiwe mengi huko ambako wajinga wengi wapo?
Leo chama cha ACT Wazalendo kutoa tamko lao juu ya ushiriki wao katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Je, kuungana na CHADEMA katika kujitoa?
=====
ACT-Wazalendo yaanika vioja wagombea kukatwa
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeeleza kufadhaishwa na kile kilichokiita hujuma dhidi ya vyama vya upinzani katika uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho, Dorothy Semu, alidai kuenguliwa kwa wagombea wao, kulipangwa mapema ili wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wapite bila kupingwa.
“Wagombea wetu 110,040 nchi nzima wameenguliwa, wakiwamo 2,000 ambao hata sababu za kuenguliwa kwao hazijaelezwa.
"Kuenguliwa kwa wagombea hawa na wengine kutoka vyama vya upinzani kumelenga kuhakikisha wagombea wa CCM wanapita bila kupingwa," alisema Semu.
Akifafanua zaidi kuhusu kuenguliwa kwa wagombea wa chama chake, kiongozi huyo wa ACT alidai baadhi ya wagombea wao wameambiwa hawana shughuli halali licha ya kuwa miongoni mwa walipakodi wakubwa nchini.
Alidai miongoni mwa walioenguliwa kwa kigezo hicho ni mgombea wao katika Mtaa wa Masaki jijini, ambaye jina lake limekatwa licha ya kuwa ni mfanyabiashara anayetambuliwa na Mamlaka ya Mapato (TRA) na hulipa kodi ya zaidi ya Sh. milioni 30 kwa mwaka.
Alidai kuna wagombea wao wameenguliwa kwa kuelezwa kuwa chama hicho hakipo katika orodha ya vyama vilivyosajiliwa kwa msajili wa vyama nchini.
Semu pia alisema kuna walioenguliwa kwa madai kuwa si wakazi wa maeneo wanayogombea licha ya kuwa na kuzaliwa katika maeneo hayo na kuwa na makazi ya kudumu na familia zao kuishi katika maeneo husika.
"Kuna hujuma pia ilifanyika kwa fomu za wagombea wetu kughushiwa na kuongezwa herufi za majina ya mgombea na hivyo mgombea kuenguliwa kwa maelezo kuwa majina yaliyotumika siyo sahihi licha ya kuwa fomu hizo zilijazwa majina sahihi," alidai.
Alisema tayari chama hicho kimeanza kuchukua hatua dhidi ya suala hilo kwa kufanya mawasiliano na vyama vingine, vikiwamo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), National League for Democracy (NLD) na Chama cha NCCR-Mageuzi ili kuunganisha nguvu na kuchukua hatua za pamoja.
Aliongeza kuwa kamati ya chama imeitishwa kwa dharura na itakuwa na kikao leo ili kutafakari hatua za kuchukua kukabiliana na kile alichoita hujuma dhidi ya vyama vya siasa nchini.
Chanzo: Npashe
Wamekuwa minsled na Zitto Kabwe .Jina la Chama wanachogombea wameandika ACT wazalendo.Ambacho jina Hilo halipo kwa msajili wa vyama lililopo kule ni ACT.Wagombea laki moja plus wanaawezaje kukosea fomu wote ?
Nashangaa baadhi ya watu wanafanya suala la kujitoa kama jipya!
Maalim Seif alianza tena kwenye Uchaguzi Mkuu na tunafahamu kilichotokea.
Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ambao hauna hata foreign observer nani atahangaika nao!
Wamekuwa minsled na Zitto Kabwe .Jina la Chama wanachogombea wameandika ACT wazalendo.Ambacho jina Hilo halipo kwa msajili wa vyama lililopo kule ni ACT.
Hapa ni uongo wa mchana kweupe haya twende kwenye mihuri ya Chama iliyoyongwa kwenye hizo fomu za wagombea mbona Zina jina la ACT wazalendo jina ambalo haliko kwa msajili Hilo.nalo analiongeleaje?"Kuna hujuma pia ilifanyika kwa fomu za wagombea wetu kughushiwa na kuongezwa herufi za majina ya mgombea na hivyo mgombea kuenguliwa kwa maelezo kuwa majina yaliyotumika siyo sahihi licha ya kuwa fomu hizo zilijazwa majina sahihi," alidai.
CUF wengi kwenye kujaza fomu wamejitahidi isipkuwa maeneo machache
Kujaza fomu sio mtihani kuwa kila.mmoja anajaza chumba Cha mtihani peke yake kiasi kuwa useme Kama upinzani walikosea na CCM lazima wakukosea wawepona ccm je? kwa nini hakuna hata mmoja aliyekosea?
Vile vile hatutaki chama kilichokuwa hakiwezi mashindano ya uwazi bila ya kutumia nguvu za dola.Mawazo mbadala haina maana kupinga kila kitu! Tunahitaji vyama mbadala kweli siyo vyama uchwara vya kupinga kila kitu!