ACT wazalendo bado hamjachelewa jitoeni kwenye uchuguzi kwa upande wa Bara.
Hamna chochote mnatakachopata kwenye uchaguzi huu, mbele ya hii CCM maslahi.
Mtapigwa kila pembe hadi mchakae.
Tunajua muhasisi wenu Zitto anawapelekesha kwenye chama chenu, lakini kwa hali inavyokwenda ni vyema mngejitoa kutoshiriki uchaguzi wa mwaka ambao ni futuhi.
Msitumike na CCM kwa nguvu kuhalilisha hii futuhi yao ya uchaguzi, japokuwa Polepole anawatuhumu kuwa project yao.