Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
ACT CHUMIA TUMBOKiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye ni Mtia nia nafasi ya Urais katika Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu Dorothy Semu anasema kuwa wao hawakubaliani na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika ajenda ya ‘No Reform, No Election’.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Agombee tu ili wanachama wake Wauawe kama walivyouawa wapemba 2020 kwa majeshi ya kukodi, halafu yeye na Zitto walipwe hela kwa kulinda DemokrasiaKiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye ni Mtia nia nafasi ya Urais katika Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu Dorothy Semu anasema kuwa wao hawakubaliani na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika ajenda ya ‘No Reform, No Election’.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ukiona chama kinaogopa uchaguzi ujue hawajajiandaaKiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye ni Mtia nia nafasi ya Urais katika Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu Dorothy Semu anasema kuwa wao hawakubaliani na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika ajenda ya ‘No Reform, No Election’.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
ACT wana slogan yao ila nia ni moja ,mtoa mada wewe ndio haujamuelewa na hili halijafanywa kwa bahati mbaya na icho chombo cha redio ili kupotosha watu.Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye ni Mtia nia nafasi ya Urais katika Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu Dorothy Semu anasema kuwa wao hawakubaliani na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika ajenda ya ‘No Reform, No Election’.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ccm BKiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye ni Mtia nia nafasi ya Urais katika Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu Dorothy Semu anasema kuwa wao hawakubaliani na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika ajenda ya ‘No Reform, No Election’.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ni kweli,nilimsikia Ado Shaibu akihojiwa East Africa radio akasema hawawezi kuingia kwenye uchaguzi katika mazingira ya tume hii,na huo ndio msimamo wa chama chao na kwamba wanafanya mazungumzo na 'vyama makini' ili kujua cha kufanyaACT wanaungana na Chadema katika No Reform No Election ila kwa lugha tofauti
Maza anatafuta Mkuu wa Mkoa wala hayupo ACT kwa dhatiKiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye ni Mtia nia nafasi ya Urais katika Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu Dorothy Semu anasema kuwa wao hawakubaliani na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika ajenda ya ‘No Reform, No Election’.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hatushangai. Wakikubaliana nao maana yake wanakiri Chadema ni baba lao kwao.Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye ni Mtia nia nafasi ya Urais katika Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu Dorothy Semu anasema kuwa wao hawakubaliani na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika ajenda ya ‘No Reform, No Election’.
Ni haki yao. ACT-WAZALENDO wanajua hata iweje watakuwa na wabunge kutoka Pemba. Na ukweli ni kuwa hawaaminiani. Kila chama kifanye kile inachoona kina maslahi kwake.
Amandla...