Umetoa ushauri mzuri ila mazingira yetu ya kisiasa yatawabana, vyombo vya dola huenda vikatumika kuwazuia.Huu ni ushauri kwa vyama husika - ACT Wazalendo na CHADEMA. Tunawashaurini kukaa, kubaliana (juu ya role, cooperation principles and operational modality) na kisha undeni JEIT iwasaidie kukusanya intelligence za uchaguzi wakati wa kampeni.
Lisha ichambue na kuwashauri namna ya kupanga na kutekeleza mipango/mikakati ya kampeini zenu, kufuatilia na kusimamia mwenendo wa uchaguzi siku ya kupiga kura, kuhesabu kura, kujumlisha kura na kutangaza matokeo. Ni muhimu sana.
Mwaka 2015 nilishuhudia namna kura za mgombea urais pale ofisi ya DED zilivyokuwa zikibadilishwa pasipokuwa na intervention yoyote.
Kila la kheri kwa utekelezaji
Ni sahihi, nishauri pia upinzani ujaribu kuwa na marafiki kwenye vyombo vya dola, siyo kutunyooshea vidole kila siku sisi wababaya.Umetoa ushauri mzuri ila mazingira yetu ya kisiasa yatawabana, vyombo vya dola huenda vikawazuia.
Ila mtoa mada kwa sasa umeamua kuasi ''mfumo"...😂😂😂
Hata kama wakiwa na marafiki huko kwenye hivyo vyombo sana sana watapata marafiki ambao ni watumishi wenye vyeo vya chini tu.Ni sahihi, nishauri pia upinzani ujaribu kuwa na marafiki kwenye vyombo vya dola, siyo kutunyooshea vidole kila siku sisi wababaya.
Wapo kwenye vyombo vya dola waumini wa utawala wa sheria na haki, watumike!
Unakuaje na joint intelligence team mkiwa na mtu wa kitengo kama Membe(aliyekula kiapo cha milele na milele) na kama watu hawaamini then Membe aende kinyume na kiapo chake ataona kama yaliyomtokea Kombe hayatamkuta na yeye.Hata kama wakiwa na marafiki huko kwenye hivyo vyombo sana sana watapata marafiki ambao ni watumishi wenye vyeo vya chini tu.
Urafiki kama huo utaishia kuwaumiza zaidi wapinzani huku siri zao za vikao vya ndani zikivujishwa kwa watawala.
Huu ni ushauri kwa vyama husika - ACT Wazalendo na CHADEMA. Tunawashaurini kukaa, kubaliana (juu ya role, cooperation principles and operational modality) na kisha undeni JEIT iwasaidie kukusanya intelligence za uchaguzi wakati wa kampeni.
Lisha ichambue na kuwashauri namna ya kupanga na kutekeleza mipango/mikakati ya kampeini zenu, kufuatilia na kusimamia mwenendo wa uchaguzi siku ya kupiga kura, kuhesabu kura, kujumlisha kura na kutangaza matokeo. Ni muhimu sana.
Mwaka 2015 nilishuhudia namna kura za mgombea urais pale ofisi ya DED zilivyokuwa zikibadilishwa pasipokuwa na intervention yoyote.
Kila la kheri kwa utekelezaji
Excellent idea. Hasa wakati wa kuhesabu na kutangaza matokeo. Wawakilishi wa vyama katika vituo vya kupiga kura wapatiwe mafunzo maalum na wawe "properly managed". Hii ndiyo kete pekee itakayowasaidia kulinda kura zao. La sivyo watapigwa bao.Huu ni ushauri kwa vyama husika - ACT Wazalendo na CHADEMA. Tunawashaurini kukaa, kubaliana (juu ya role, cooperation principles and operational modality) na kisha undeni JEIT iwasaidie kukusanya intelligence za uchaguzi wakati wa kampeni.
Lisha ichambue na kuwashauri namna ya kupanga na kutekeleza mipango/mikakati ya kampeini zenu, kufuatilia na kusimamia mwenendo wa uchaguzi siku ya kupiga kura, kuhesabu kura, kujumlisha kura na kutangaza matokeo. Ni muhimu sana.
Mwaka 2015 nilishuhudia namna kura za mgombea urais pale ofisi ya DED zilivyokuwa zikibadilishwa pasipokuwa na intervention yoyote.
Kila la kheri kwa utekelezaji
Mwaka huu ACT na CDM kura inabidi zilindwe kwa gharama zozote ,tushamchoka JIWE kaangusha UCHUMI.Huu ni ushauri kwa vyama husika - ACT Wazalendo na CHADEMA. Tunawashaurini kukaa, kubaliana (juu ya role, cooperation principles and operational modality) na kisha undeni JEIT iwasaidie kukusanya intelligence za uchaguzi wakati wa kampeni.
Lisha ichambue na kuwashauri namna ya kupanga na kutekeleza mipango/mikakati ya kampeini zenu, kufuatilia na kusimamia mwenendo wa uchaguzi siku ya kupiga kura, kuhesabu kura, kujumlisha kura na kutangaza matokeo. Ni muhimu sana.
Mwaka 2015 nilishuhudia namna kura za mgombea urais pale ofisi ya DED zilivyokuwa zikibadilishwa pasipokuwa na intervention yoyote.
Kila la kheri kwa utekelezaji
Tuko wengi tu. Tusipouasi mfuno nchi itaangamia. Tunapaswa kuiokoa nchi yetu kwa kuw ahuyu Bwn. ameikoroga kweli kweli. Hakuna cha kufuata Katiba wala sheria. Kila kitu anafanya anavyotaka yeye. Hii ni hatari kwa nchi kuendeshwa kwa personal whims.Ila mtoa mada kwa sasa umeamua kuasi ''mfumo"
Utakuwa ccm weweYa 2015 yanajirudia tena. Huezi kuungana na mpinzani wako kumtoa mpinzani wako mwingine hali yakua unapingana na mpinzani wako
upinzani njaa nyingi wana ji snitch wenyewe,,,,,,, mfano mzuri ile hamahama kisa tusentiHata kama wakiwa na marafiki huko kwenye hivyo vyombo sana sana watapata marafiki ambao ni watumishi wenye vyeo vya chini tu.
Urafiki kama huo utaishia kuwaumiza zaidi wapinzani huku siri zao za vikao vya ndani zikivujishwa kwa watawala.
Asante sana tunatarajia utatupatia ujuzi zaidi kuhusu namna ccm wanavyobadilisha kura kupitia ma-DED.Huu ni ushauri kwa vyama husika - ACT Wazalendo na CHADEMA. Tunawashaurini kukaa, kubaliana (juu ya role, cooperation principles and operational modality) na kisha undeni JEIT iwasaidie kukusanya intelligence za uchaguzi wakati wa kampeni.