GE2025 ACT Wanazungumza na Wanahabari leo Saa Sita Mchana, Septemba 22, 2025

GE2025 ACT Wanazungumza na Wanahabari leo Saa Sita Mchana, Septemba 22, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
WhatsApp Image 2025-09-22 at 07.22.22_f3d73205.jpg

Awali Mkutano huu ulikuwa ufanyike Saa Tano Asubuhi, umesogezwa mbele hadi Saa Sita Mchana, leo Septemba 22, 2025 kwenye Ukumbi wa Maalim Seif ndani ya Jengo la ACT Wazalendo Jijiji Dar es Salaam.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
tutasikiliza hatima yao ni nini wanaunga NRNE au JUHUDI


nimeona "ukumbi wa hakainde hichilema" -- huyu raisi aliahidi by 2023 tatizo la madawati nchini kwake litakua imeisha,, sjajua hali ipo vipi kwa sasa 🤣
 
Kiongozi wa chama cha ACT anampigia kampeni Samia. Ukweli tumeujua kuwa ACT ni ccm B
 
Back
Top Bottom