ACT vs SAU, historia inajirudia.

ACT vs SAU, historia inajirudia.

Lengeri

Senior Member
Joined
Jul 3, 2009
Posts
180
Reaction score
18
Chama cha SAU kilianzishwa na waliokuwa wanachama wa CDM wakiongozwa na aliyekuwa mmoja wa wadhamini wa chama Paul Kyara baada wanachama hao kutofautiana na uongozi wa chama hicho kwa hoja ile ile ya usaliti.
Leo tujiulize ki wapi chama hiki??

Asili ya ACT inafanana na ya SAU, mgongano kati ya wanachama na uongozi wa juu kwa madai ya usaliti

Rafiki yangu ZZK hupenda kunukuu kauli ya gwiji Thabit Kombo "tuweke akiba ya maneno" jee ACT ina uelekeo wa SAU, kwa sasa tuweke akiba.

Lengeri
 
Chadema ndio ina uelekeo wa SAU. Ukipingana na mawazo ya mbowe ni msaliti
ACT TUMAINI JIPYA LA WATANZANIA
 
Chama cha SAU kilianzishwa na waliokuwa wanachama wa CDM wakiongozwa na aliyekuwa mmoja wa wadhamini wa chama Paul Kyara baada wanachama hao kutofautiana na uongozi wa chama hicho kwa hoja ile ile ya usaliti.
Leo tujiulize ki wapi chama hiki??

Asili ya ACT inafanana na ya SAU, mgongano kati ya wanachama na uongozi wa juu kwa madai ya usaliti

Rafiki yangu ZZK hupenda kunukuu kauli ya gwiji Thabit Kombo "tuweke akiba ya maneno" jee ACT ina uelekeo wa SAU, kwa sasa tuweke akiba.

Lengeri
Paul Kyara a.k.a Legho ndiye mangi wa kwanza na wa mwisho kutofautiana na mangi wenzake.
 
Back
Top Bottom