Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 464
- 687
Agosti 17, baada ya kuzisikia hoja za Luhaga Mpina akiwahutubia wafuasi wake dhidi ya Rais Samia na Serikaliyake, niiandika makala tajwa hapo chini, ambayo jana Agost 26, yametimia.
www.jamiiforums.com
Wahenga walitueleza, ukiona mwenzako ananyolewa, zako tia maji. Hiki ndicho kilichowapata ACT baada ya mgombea urais wao kukatwa.
View: https://vm.tiktok.com/ZMAYghM6K/
Sasa swali linabaki, Je; ACT wataendelea kushiriki uchaguzi au watajiunga na CHADEMA?
Itakumbukwa, hoja za CHADEMA kwenye madai yao ya No Reforms, No Election, ilikuwa ni pamoja na wagombea wao kuuawa, kuenguliwa kugombea, kufungiwa ofisi wasirudishe fomu za uteuzi, kuzuiliwa mawakala wao na kutokutangazwa wakishinda. Mambo haya, ACT sasa nao yamewafika. Kazi kwao, kususa au kutiki
GE2025 - Tujiandae kisaikolojia kusikia Mpina ameondolewa na Tume kugombea urais
Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali. Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed...