Mkuu;
Are yu the President of this country?? If not, then just keep your views with yu. Yu must remember that our President has vowed not to share the leadership of this country with the opposition. Now, since when has he changed his stand?? If his declaration was made in public there in Zanzibar, why now has he revoked it secretly??
Basi, awe muwazi tumuunge mkono sio kutushutukiza. His actions has settled our minds that; This ACT-Wazalendo is nothing but the left arm of CCM.
Mkuu, your question is VALID. And the answer is a BIG NO! However our President is HUMAN. Therefore his is bound to make some controversial statements as well as MISTAKES.Mkuu;
Are yu the President of this country?? If not, then just keep your views with yu. Yu must remember that our President has vowed not to share the leadership of this country with the opposition. Now, since when has he changed his stand?? If his declaration was made in public there in Zanzibar, why now has he revoked it secretly??
Basi, awe muwazi tumuunge mkono sio kutushutukiza. His actions has settled our minds that; This ACT-Wazalendo is nothing but the left arm of CCM.
Awamu hii tumeendelea kufarakana kwa kasi ya ajabu. Mbinu za kibanyamulenge zinatumiwa toka magogoni kwetu.While I believe kuwa nia ya Rais Magufuli siyo KUUA UPINZANI maana uko katika katiba maana ni mzuri katika checks and balances KIDEMOKRASIA.
Bali naona nia kuu ni KUUNGANISHA nchi bila kujali vyama.
Hasa akiona kuwa kuna mtu BRAINY/MSOMI au mwenye AKILI na UBUNIFU aliyeko upinzani ambaye anaweza kuleta INPUTS zake katika maendeleo ya kuijenga nchi.
Maana Taifa na NCHI hii si Ya CCM wala ACT wala CHADEMA ila ni ya WATANZANIA wote walio katika wa vyama MBALIMABALI vya kisiasa.
Ila kwa sasa NI LAZIMA kila mmoja AKUBALI kuwa serikali INAYOONGOZA sasa ni ya CCM.
Na Kiongozi wake ana NIA NJEMA na nchi hii katika ya KULIUNGANISHA taifa bila kujali wewe ni chama gani.
Kwa hilo TUMPONGEZE badala ya kumlaumu.
Nikukumbushe....alitoa kauli ya kutoruhusu wapinzani kwenye serikali yake akiwa tayari ni SITTING PRESIDENT....haikuwa wakati wa kampeni. Ndio maana alisema ameshinda kwa asilimia 58 lakini hatoingiza mpinzani kwenye serikali yake...akamshangaa Shein aliyeshinda kwa zaidi ya asilimia 90 lakini anashirikisha wapinzani kwenye serikali yake.Mkuu, your question is VALID. And the answer is a BIG NO! However our President is HUMAN. Therefore his is bound to make some controversial statements as well as MISTAKES.
Kama binadamu all of us come to the reality of things.
That things are more PRACTICAL than theoretical during KAMPENI.
We have to therefore differentiate between a CAMPAIGNING President and the now SITTING PRESIDENT.
Kila ofisi na mambo unayoyakuta wakati umekuwa mkuu wa nchi. Hata kama ni wewe LAZIMA ungeona Dah! Si vile nilivyokuwa ninajua !
Ni LAZIMA tumwelewe mrais wetu kabla ya kuroa UAMUZI. Japokuwa uwe huru kukosoa na kuletea njia MBADALA.
Mkuu hiyo ni RAHISI kumwelewa, maana alikuwa BADO yungali NOVICE/Mchanga katika Ofis ya URAISUnapingana na Rais mwenyewe. Si juzi juzi tu alipokuwa Unguja alimshangaa Shein kwa kuteua wapinzani kwenye serikali yake akasema yeye hatateua mpinzani kwenye serikali yake? Tena alisisitiza kuwa hakuna mpinzani atakaye kanyaga kwenye serikali yake, sasa leo unaongea nini? Au hakusema hivyo?
Mkuu , Rais akifanya hivyo basi tutakuwa TUMERUDI kwenye MFUMO wa chama KIMOJA Na sidhani ni mawazo ya rais wetu.Hilo mkuu haliko hivyo! Kama anataka kuunganisha nchi kweli basi awaagize watu wake wapeleke mswada bungeni iundwe serikali ya umoja wa kitaifa na hapo achukue wapinzani kwa roho nyeupe awape wizara na nafasi zingine. Hapo ndo tutakubali kwamba anatafuta hicho, lakini kwa sasa huku ni kumwumbua Zitto ili abaki mpweke na mwisho wa siku ajisalimishe CCM!!
Aah wapi! Huyo ndio amesharudi nyumbani kwao. Tunasubiri na Zitto Kabwe naye apewe cheo serikalini tuone kama atakataa .Kosa! Huyu Mama ni MDAU mkubwa wa ACT lakini pia ni Kada wa CCM. Bado yumo ndani. Ila kwa ushauri tu, ASIKIKUBALI hiki CHEO!
We are not building a poverty, but they are(ccm).We are not building anything in this country Sir. The only thing that we're building is extremely poverty.
Misingi ya umoja wa kitaifa imetikiswa sana kiasi kwamba imeshapata nyufa kubwa sana; kudahania kuwa petty gestures kama hizi ndizo za kujenga umoja ni utani mbaya.While I believe kuwa nia ya Rais Magufuli siyo KUUA UPINZANI maana uko katika katiba maana ni mzuri katika checks and balances KIDEMOKRASIA.
Bali naona nia kuu ni KUUNGANISHA nchi bila kujali vyama.
Hasa akiona kuwa kuna mtu BRAINY/MSOMI au mwenye AKILI na UBUNIFU aliyeko upinzani ambaye anaweza kuleta INPUTS zake katika maendeleo ya kuijenga nchi.
Maana Taifa na NCHI hii si Ya CCM wala ACT wala CHADEMA ila ni ya WATANZANIA wote walio katika wa vyama MBALIMABALI vya kisiasa.
Ila kwa sasa NI LAZIMA kila mmoja AKUBALI kuwa serikali INAYOONGOZA sasa ni ya CCM.
Na Kiongozi wake ana NIA NJEMA na nchi hii katika ya KULIUNGANISHA taifa bila kujali wewe ni chama gani.
Kwa hilo TUMPONGEZE badala ya kumlaumu.
Amteue Tundu lisu kuwa mwanasheria Mkuu wa serikali au waziri wa sheria na katiba.Kama kweli nia yake ni kushirikisha Watanzania bila kujali vyama vyao basi amteua Ibrahim Lipumba ili hatimae CUF kutulie!!!
Lakini kwa ninavyoona katu hawezi kufanya hivyo manake hatua hiyo itakuwa ni kuumaliza mgogoro ndani ya CUF jambo ambalo wanasiasa aina ya JPM ni lazima watakuwa wanaufurahia!!