While I believe kuwa nia ya Rais Magufuli siyo KUUA UPINZANI maana uko katika katiba maana ni mzuri katika checks and balances KIDEMOKRASIA.
Bali naona nia kuu ni KUUNGANISHA nchi bila kujali vyama.
Hasa akiona kuwa kuna mtu BRAINY/MSOMI au mwenye AKILI na UBUNIFU aliyeko upinzani ambaye anaweza kuleta INPUTS zake katika maendeleo ya kuijenga nchi.
Maana Taifa na NCHI hii si Ya CCM wala ACT wala CHADEMA ila ni ya WATANZANIA wote walio katika wa vyama MBALIMABALI vya kisiasa.
Ila kwa sasa NI LAZIMA kila mmoja AKUBALI kuwa serikali INAYOONGOZA sasa ni ya CCM.
Na Kiongozi wake ana NIA NJEMA na nchi hii katika ya KULIUNGANISHA taifa bila kujali wewe ni chama gani.
Kwa hilo TUMPONGEZE badala ya kumlaumu.
Mkuu;
Are yu the President of this country?? If not, then just keep your views with yu. Yu must remember that our President has vowed not to share the leadership of this country with the opposition. Now, since when has he changed his stand?? If his declaration was made in public there in Zanzibar, why now has he revoked it secretly??
Basi, awe muwazi tumuunge mkono sio kutushutukiza. His actions has settled our minds that; This ACT-Wazalendo is nothing but the left arm of CCM.