Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
CCM wamegoma kutoa fedha baada ya kuona hakina mwelekeo kwani wanaogopa kupoteza fedha kama ilivyotokea kwa ADC
ACT ni chama kinachokua kwa kasi sana.. vijana na wanawake wote wa tanzania wanaipenda sana act
ACT imejaa telee.. inachanja mbuga kwa kasi sana. watanzania wanakipenda sana hiki chama
chama cha matraitors.kimefia arusha
ACT ni chama kinachokua kwa kasi sana.. vijana na wanawake wote wa tanzania wanaipenda sana act
endelea kuota ndoto za jioni! huwezi anzisha chama cha upinzani kwa ufadhili wa ccm ukafanikiwa,teh teh teh teh
tutakuja kuwakomboa mazuzu ya arusha yaliyotekwa na matapeli chadema
hata kama ni uwendawazimu,wako umezidi! unajidhalirisha bure ndg!
watz wa sasa wanajitambua,hicho chama chenu cha kuchumia tumbo soon kitakufa kifo cha mende.
Safari yao Mwanza ilikuwa ngumu sana. Inabidi wajipange upya.Mbona kimya? Tuamini kuwa alizaliwa Kigoma na kuishia Mwanza? Kuanzisha,kukuza na kuendeleza chama cha siasa ni jambo kubwa. Si jambo la kukurupuka na kujaribu. diyo mjue kuwa wenye vyama vyao walijitoa na kuvifikisha hapo vilipo
Ndugu yangu Petero, hatuwezi kuviendesha vyama vya upinzani kwa ufanisi kwa kutegemea ushabiki na ku shout bali kwa mikakati ya kisayansi.
Safari yao Mwanza ilikuwa ngumu sana. Inabidi wajipange upya.
Zito kugoma kujiunga hadharani kumeifanya ccm kuvuta pumzi kwanza. Hilo lilikuwa sharti la msingi ili ccm waweze kuibomoa cdm.
Zito ameshtuka, ACT hawana mbele wala nyuma kwa sasa.