Abdull Kazi
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 345
- 307
| [TABLE="width: 100%"] [TR] [TD]___________________________________________________________ P.O. Box 105043, House No. 203, Mpakani A Street, Kijiitonyama, Dar es salaam. Tel: +255 22 277 1103, Mob: +255 763 463740 / 715 784670, Email: acttanzania@gmail.com |
kulikuwa hakuna haja ya kutaja mmewaalika nan maana wanaweza wasifike hao mlio wataja
kulikuwa hakuna haja ya kutaja mmewaalika nan maana wanaweza wasifike hao mlio wataja
Hiki kweli ni kishindo!ACT-Wazalendo Kuandika historia Tanzania.
Hatimae Zimebaki siku Tatu Chama cha ACT-Wazalendo kifanyen uzinduzi wa chama,utakuwa uzinduzi wa kihistoria kutokana na wananchi wengi hasa wanyonge kuhamisika sana kuona chama chao kinaandika historia Mpya.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama pamoja na wanachana ,wapenzi na mashabiki wa chama wanaendelea kumiminika toka kila pembe ya Tanzania.
Mapokezi ni mazuri Mpaka sasa Zaidi ya viongozi na wanachama toka Mikoa 24 wameshatinga Jijini Dar es Salaam kwaajili ya kushiriki tukio hilo la Kihistori.
Pia Wageni Mbalimbali toka Nchi za Afrika,Amerika na Ulaya wanaendelea kuwasili kwaajili ya kushuhudia uzinduzi wa chama hapo tarehe 29-03-2015 ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
Tuliahidi ,tumeweza na sasa tunasonga Mbele.
Karibu wote mshuhudie safari ya ukombozi ikianza rasmi.
Fahari ndio mama wa ujinga kutumia mamilioni kwa jambo kama hilo na kwa chama kichanga namna hiyo ni ufujaji mkubwa wa pesa
Ni sawa na kufunga harusi ya kifahari na ya gharama kubwa wakati maharusi hawana hata kibanda cha kuweka mbavu
Mkutano wa hiki chama utageuka kuwa kashfa kubwa ngoja tuwe na subra WAKATI SI MILELE
Eti sasa wanasonga mbele!!! Mnasonga mbele na usaliti wenu wa kutaka kuisambaratisha CHADEMA.
Anaikomoaje CHADEMA?Wanaosifia ATC bila kuangalia kasoro ni vichwa maji, hata siku moja huwezi ukashabikia chama kinachoingia kuvuruga vyama pinzani kisa ngivu ya mtu mmoja, Zito anachofanya sasa hv kuwakomoa Chadema nakuruga mipango ya Ukawa hii haipo sawa kabisaaaaa...