ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY
ACT- TANZANIA.
MAKAO MAKUU OFSI YA UENEZI NA MAHUSIANO YA JAMII
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT-Tanzania, Kadawi Lucas Limbu, kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya ACT-Tanzania, ametengeua uteuzi wa Thomas Matatizo, kuwa mwanasheria wa chama kuanzia leo, tarehe 1 Januari 2015.
Mwenyekiti wa ACT-Taifa, amefuta uteuzi huo kwa kutumia ibara ya 37(w) (vi) ya Katiba ya ACT-Tanzania.
Bw.Thomas Matatizo ametenguliwa uteuzi wake kutokana na kujipa mamlaka ya kufanya kazi asizotumwa na chama, kushirikiana na wanaokidhoofisha chama na kudhihaki maamuzi halali ya kikao yaliyofanyika jana tarehe 31 Desemba 2015 lakini atabaki kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati.
Katika kikao hicho, Kamati ya watu 11 iliyopewa mamlaka ya kuongoza chama kwa mujibu wa sheria Na. 5 ya vyama vya siasa ya mwaka 1992, iliamua kumvua uwanachama, aliyekuwa Katibu Mkuu wa ACT, Samson Mwigamba, Mshauri wa chama Prof. Kitila Mkumbo na wanachama wengine kutenguliwa nafasi walizokabidhiwa kwa nia ya kukieneza chama lakini badala yake wanatumia nafasi hizo vibaya kukigawa na kukihujumu chama
Kwa taarifa hii, tunawaomba umma wa Watanzania kokote waliko, kutosikiliza kauli na vijineno vitakavyotolewa na Bw. Matatizo au Mwigamba. Kauli halali na thabiti ya chama itatolewa na mwenyekiti au yule ambaye amempa mamlaka.
Aidha chama chetu hakijampa mamlaka ya kuthibitisha wala kubatilisha maamuzi ya vikao mtu yeyote, bali sheria mama ya chama yaani katiba ndiyo inaelekeza mamlaka yenye uwezo wa kufanya hivyo.
Grayson Nyakarungu,
Katibu Mwenezi - ACT, Tanzania.
0755 023 503
hii taarifa sio ya kweli ACT walikuwepo na walikuja kumpa kampani zzk hata hivyo ilikua ni vigumu sana kuwajua kwa sababu hawakua na utambulisho wowote i mean hawakuwa na bendera wala tshirt,mara baada ya mkutano kumaliIka nilipata kuongea na kiongozi wa msafara wa ACT, na waliondoka kwa usalama kabisa uwanjani hapo.
Hapo nilipotia rangi nyekundu umesemaje vile!!!ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY
ACT- TANZANIA.
MAKAO MAKUU OFSI YA UENEZI NA MAHUSIANO YA JAMII
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT-Tanzania, Kadawi Lucas Limbu, kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya ACT-Tanzania, ametengeua uteuzi wa Thomas Matatizo, kuwa mwanasheria wa chama kuanzia leo, tarehe 1 Januari 2015.
Mwenyekiti wa ACT-Taifa, amefuta uteuzi huo kwa kutumia ibara ya 37(w) (vi) ya Katiba ya ACT-Tanzania.
Bw.Thomas Matatizo ametenguliwa uteuzi wake kutokana na kujipa mamlaka ya kufanya kazi asizotumwa na chama, kushirikiana na wanaokidhoofisha chama na kudhihaki maamuzi halali ya kikao yaliyofanyika jana tarehe 31 Desemba 2015lakini atabaki kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati.
Katika kikao hicho, Kamati ya watu 11 iliyopewa mamlaka ya kuongoza chama kwa mujibu wa sheria Na. 5 ya vyama vya siasa ya mwaka 1992, iliamua kumvua uwanachama, aliyekuwa Katibu Mkuu wa ACT, Samson Mwigamba, Mshauri wa chama Prof. Kitila Mkumbo na wanachama wengine kutenguliwa nafasi walizokabidhiwa kwa nia ya kukieneza chama lakini badala yake wanatumia nafasi hizo vibaya kukigawa na kukihujumu chama
Kwa taarifa hii, tunawaomba umma wa Watanzania kokote waliko, kutosikiliza kauli na vijineno vitakavyotolewa na Bw. Matatizo au Mwigamba. Kauli halali na thabiti ya chama itatolewa na mwenyekiti au yule ambaye amempa mamlaka.
Aidha chama chetu hakijampa mamlaka ya kuthibitisha wala kubatilisha maamuzi ya vikao mtu yeyote, bali sheria mama ya chama yaani katiba ndiyo inaelekeza mamlaka yenye uwezo wa kufanya hivyo.
Grayson Nyakarungu,
Katibu Mwenezi - ACT, Tanzania.
0755 023 503
Waandishi wa habari bongo.ni wa ajabu sana..huwa hawaulizi maswali licha ya mhusika kutoa utetezi/hotuba yenye utata tu mwingiMtangazaji wa Clouds kashindwa kuuliza maswali ya msingi Kitila leo.......mtu anasema mimi bado mwanachama kisheria....alipaswa kuulizwa sheria ipi wakati yeye ni mwanachama wa kawaida na ametimuliwa na kamati ya uongozi inatambulika na msajili? kwanini hawa watangazaji hawawezi kuuliza maswali ya msingi?
ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY
ACT- TANZANIA.
MAKAO MAKUU OFSI YA UENEZI NA MAHUSIANO YA JAMII
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT-Tanzania, Kadawi Lucas Limbu, kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya ACT-Tanzania, ametengeua uteuzi wa Thomas Matatizo, kuwa mwanasheria wa chama kuanzia leo, tarehe 1 Januari 2015.
Mwenyekiti wa ACT-Taifa, amefuta uteuzi huo kwa kutumia ibara ya 37(w) (vi) ya Katiba ya ACT-Tanzania.
Bw.Thomas Matatizo ametenguliwa uteuzi wake kutokana na kujipa mamlaka ya kufanya kazi asizotumwa na chama, kushirikiana na wanaokidhoofisha chama na kudhihaki maamuzi halali ya kikao yaliyofanyika jana tarehe 31 Desemba 2015 lakini atabaki kuwa mwanachama na mjumbe wa kamati.
Katika kikao hicho, Kamati ya watu 11 iliyopewa mamlaka ya kuongoza chama kwa mujibu wa sheria Na. 5 ya vyama vya siasa ya mwaka 1992, iliamua kumvua uwanachama, aliyekuwa Katibu Mkuu wa ACT, Samson Mwigamba, Mshauri wa chama Prof. Kitila Mkumbo na wanachama wengine kutenguliwa nafasi walizokabidhiwa kwa nia ya kukieneza chama lakini badala yake wanatumia nafasi hizo vibaya kukigawa na kukihujumu chama
Kwa taarifa hii, tunawaomba umma wa Watanzania kokote waliko, kutosikiliza kauli na vijineno vitakavyotolewa na Bw. Matatizo au Mwigamba. Kauli halali na thabiti ya chama itatolewa na mwenyekiti au yule ambaye amempa mamlaka.
Aidha chama chetu hakijampa mamlaka ya kuthibitisha wala kubatilisha maamuzi ya vikao mtu yeyote, bali sheria mama ya chama yaani katiba ndiyo inaelekeza mamlaka yenye uwezo wa kufanya hivyo.
Grayson Nyakarungu,
Katibu Mwenezi - ACT, Tanzania.
0755 023 503
Usitake kudanganya uma,act walifika na sare zao na baada kipigo waliondoka na kurudi baadae bila yunifom
Amefukuzwa tangu January 1, 2015 na kikao kilichokaa December 31, 2015😳. Hawa ndio viongozi wetu wa baadaye!
Hawa wanapingana juu ya nani awe mwenyekit kati ya zitto na huyu wa sasa .Ila ukiisoma hiyo barua utapata taarifa kuwa ACT hakina maisha hapo mwenyekit angalikuwa mchaga ndio ungesikia lakini nafikiri si mchaga