ACT Tanzania: Nani yuko nyuma ya hiki chama?

Kiriba

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
540
Reaction score
258
Mwanzoni mwa mwaka huu Zitto alikaririwa akisema atatoa hatma yake ya kisiasa ndani ya chadema katikati au mwishoni mwa mwezi wa tatu.

Wakati huhuo ACT wamepanga kufanya uchaguzi wao mkuu mwisho wa mwezi wa March.

Mahakama ikatoa ruling kuwa Zitto kashindwa kesi. Jiulize kama mahakama ingetoa ruling kuwa Zitto kashinda lile zuiyo, je ingekuwa je?

Zitto kamwandikia Speaker kuwa kajiuzulu ubunge, wakati chama chake bado hakija mfukuza kwani hajapewa barua yeyote ile ya kiofisi ikimwambia kuwa kafukuzwa uanachama rasmi.

Chama ndo kinatakiwa kuliandikia bunge na NEC kuwaarifu kuwa Zito sio mwanachama wao tena.

Zitto kapokelewa tu ACT nakuanza rasmi kazi ya maandalizi ya uchaguzi mkuu na uzinduzi wa chama.

Je, nani yuko nyuma ya ACT? Mahakama imetoa ruling against Zito, kame ingemfeva je ingekuwa je?

Kwanini zito ajitoe Chadema wakati hakijamfukuza uanachama?

Mbona asingesubiri mpaka bunge livunjwe? Kwanini mapema?

Zito kwanini hakusubiri miaka 2 ipite arudi chadema kuomba uanachama upya?

Unganisha matukio utapata jibu.

Cc: Pascal, Mzee Mwanakijiji, et al.
 
ww nawe LIJINGA kabisa kwa hali waliyokiwa wamefikia cdm na zzk hasa mbowe na lissu unazani zzk angeishi vipi ndani ya cdm yaan umekurupuka na umeweka ushabiki ndani yake
 
Naona Tangazo StarTV wakikipa promo chama eti chama cha wazalendo na wakiomba wananchi kuwaunga mkono siku ya Uzinduzi
 
Toa hoja acha hisia. Don't give assumptions be analytical.
 
Naona Tangazo StarTV wakikipa promo chama eti chama cha wazalendo na wakiomba wananchi kuwaunga mkono siku ya Uzinduzi

Jiulize mbona Star TV hawarushi matangazo ya vyama vingine vya upinzani??
 
Ni CCM. Watakitumia sana kwenye matokeo ya uchaguzi mkuu. Kitasema uchaguzi ulikuwa huru nawa haki
 
Ha haaaa. Na kina mpongeza sana raisi mteule kwa ushindi wa kishindo.
 
Nyuma ya hawa
11060026_734015780052520_7876007614045696427_n.jpg
 
Kwenye ukweli semeni ukweli,acheni siasa za husuda,unafiki,kgeugeu na uzandiki,
Labda mkuu huishi Dunia hii,maana ungekuwa unaishi dunia hii usingeuliza maswali yako hayo,tunaoishi dunia hii tushasikia zaidi ya mara kumi kuwa Zitto ashafukuzwa chama , mwanasheria wa Chadema ashasema Zitto alishafukuzwa chama zamani,mwenyekiti mpaka juzi karudia kusema kuwa Zitto ashafukuzwa chama,
 
Ila mbona walimfukuza...kumbuka tundu lisu alitangaza hadharan kwamba zzk sio tena mwanachama sasa hapo maamuz c anayo yeye mwenyew. Kwa ufikiliavyo wewe bas chadema nao wanahusika kwenye hii movie maana wao ndio walikua wa kwanza kuita waandishi kutangaza ukomo wa uanachama wa zzk.
 
Bavicha mna hangaika sana na mnateseka sana....mmesahau kabisa kuhusu UKAWA..

Tuambieni nani yuko nyuma ya UKAWA na chadema.
 
mwanzoni mwa mwaka huu zitto alikaririwa akisema atatoa hatma yake ya kisiasa ndani ya chadema katikati au mwishoni mwa mwezi wa tatu.

Wakati huhuo act wamepanga kufanya uchaguzi wao mkuu mwisho wa mwezi wa march.

Mahakama ikatoa ruling kuwa zitto kashindwa kesi. Jiulize kama mahakama ingetoa ruling kuwa zitto kashinda lile zuiyo, je ingekuwa je?

Zitto kamwandikia speaker kuwa kajiuzulu ubunge, wakati chama chake bado hakija mfukuza kwani hajapewa barua yeyote ile ya kiofisi ikimwambia kuwa kafukuzwa uanachama rasmi.

Chama ndo kinatakiwa kuliandikia bunge na nec kuwaarifu kuwa zito sio mwanachama wao tena.

Zitto kapokelewa tu act nakuanza rasmi kazi ya maandalizi ya uchaguzi mkuu na uzinduzi wa chama.

Je, nani yuko nyuma ya act? Mahakama imetoa ruling against zito, kame ingemfeva je ingekuwa je?

Kwanini zito ajitoe chadema wakati hakijamfukuza uanachama?

Mbona asingesubiri mpaka bunge livunjwe? Kwanini mapema?

Zito kwanini hakusubiri miaka 2 ipite arudi chadema kuomba uanachama upya?

Unganisha matukio utapata jibu.

Cc: Pascal, mzee mwanakijiji, et al.

tulionyuma ya act nisisi wananchi wazalendo kwa nchii yetu
 
Mwanzoni mwa mwaka huu Zitto alikaririwa akisema atatoa hatma yake ya kisiasa ndani ya chadema katikati au mwishoni mwa mwezi wa tatu.

Wakati huhuo ACT wamepanga kufanya uchaguzi wao mkuu mwisho wa mwezi wa March.

Mahakama ikatoa ruling kuwa Zitto kashindwa kesi. Jiulize kama mahakama ingetoa ruling kuwa Zitto kashinda lile zuiyo, je ingekuwa je?

Zitto kamwandikia Speaker kuwa kajiuzulu ubunge, wakati chama chake bado hakija mfukuza kwani hajapewa barua yeyote ile ya kiofisi ikimwambia kuwa kafukuzwa uanachama rasmi.

Chama ndo kinatakiwa kuliandikia bunge na NEC kuwaarifu kuwa Zito sio mwanachama wao tena.

Zitto kapokelewa tu ACT nakuanza rasmi kazi ya maandalizi ya uchaguzi mkuu na uzinduzi wa chama.

Je, nani yuko nyuma ya ACT? Mahakama imetoa ruling against Zito, kame ingemfeva je ingekuwa je?

Kwanini zito ajitoe Chadema wakati hakijamfukuza uanachama?

Mbona asingesubiri mpaka bunge livunjwe? Kwanini mapema?

Zito kwanini hakusubiri miaka 2 ipite arudi chadema kuomba uanachama upya?

Unganisha matukio utapata jibu.

Cc: Pascal, Mzee Mwanakijiji, et al.

Ccm na Chadema mbona mnaweweseka na Act mnauliza maswali ambayo yana majibu inaamana hujui kuwa wananchi wazalendo ndo wako nyuma chama hiki.
Na mtaendelea kubabaika sana
Chadema
 
Ila mbona walimfukuza...kumbuka tundu lisu alitangaza hadharan kwamba zzk sio tena mwanachama sasa hapo maamuz c anayo yeye mwenyew. Kwa ufikiliavyo wewe bas chadema nao wanahusika kwenye hii movie maana wao ndio walikua wa kwanza kuita waandishi kutangaza ukomo wa uanachama wa zzk.

Amepewa barua na chama??? Yeye mbona kamwandikia spika barua na hakutangaza pale bungeni au kwenye vyombo vya habari ikaishia hapo.

Kwakichwa Chako unafikiri Zito ni mjinga.
 
Mwanzoni mwa mwaka huu Zitto alikaririwa akisema atatoa hatma yake ya kisiasa ndani ya chadema katikati au mwishoni mwa mwezi wa tatu.

Wakati huhuo ACT wamepanga kufanya uchaguzi wao mkuu mwisho wa mwezi wa March.

Mahakama ikatoa ruling kuwa Zitto kashindwa kesi. Jiulize kama mahakama ingetoa ruling kuwa Zitto kashinda lile zuiyo, je ingekuwa je?

Zitto kamwandikia Speaker kuwa kajiuzulu ubunge, wakati chama chake bado hakija mfukuza kwani hajapewa barua yeyote ile ya kiofisi ikimwambia kuwa kafukuzwa uanachama rasmi.

Chama ndo kinatakiwa kuliandikia bunge na NEC kuwaarifu kuwa Zito sio mwanachama wao tena.

Zitto kapokelewa tu ACT nakuanza rasmi kazi ya maandalizi ya uchaguzi mkuu na uzinduzi wa chama.

Je, nani yuko nyuma ya ACT? Mahakama imetoa ruling against Zito, kame ingemfeva je ingekuwa je?

Kwanini zito ajitoe Chadema wakati hakijamfukuza uanachama?

Mbona asingesubiri mpaka bunge livunjwe? Kwanini mapema?

Zito kwanini hakusubiri miaka 2 ipite arudi chadema kuomba uanachama upya?

Unganisha matukio utapata jibu.

Cc: Pascal, Mzee Mwanakijiji, et al.

Mbona unajikayaga kanyaga, kama CHADEMA hawajamfukuza Zitto mbona Lissu aliutangazia umma kuwa ZZK siyo tena mwanachama wa CHADEMA?
 
Back
Top Bottom