Mwanzoni mwa mwaka huu Zitto alikaririwa akisema atatoa hatma yake ya kisiasa ndani ya chadema katikati au mwishoni mwa mwezi wa tatu.
Wakati huhuo ACT wamepanga kufanya uchaguzi wao mkuu mwisho wa mwezi wa March.
Mahakama ikatoa ruling kuwa Zitto kashindwa kesi. Jiulize kama mahakama ingetoa ruling kuwa Zitto kashinda lile zuiyo, je ingekuwa je?
Zitto kamwandikia Speaker kuwa kajiuzulu ubunge, wakati chama chake bado hakija mfukuza kwani hajapewa barua yeyote ile ya kiofisi ikimwambia kuwa kafukuzwa uanachama rasmi.
Chama ndo kinatakiwa kuliandikia bunge na NEC kuwaarifu kuwa Zito sio mwanachama wao tena.
Zitto kapokelewa tu ACT nakuanza rasmi kazi ya maandalizi ya uchaguzi mkuu na uzinduzi wa chama.
Je, nani yuko nyuma ya ACT? Mahakama imetoa ruling against Zito, kame ingemfeva je ingekuwa je?
Kwanini zito ajitoe Chadema wakati hakijamfukuza uanachama?
Mbona asingesubiri mpaka bunge livunjwe? Kwanini mapema?
Zito kwanini hakusubiri miaka 2 ipite arudi chadema kuomba uanachama upya?
Unganisha matukio utapata jibu.
Cc: Pascal, Mzee Mwanakijiji, et al.