ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 643
- 1,603
Tunawasubiri kwa nguvu kubwa na kasi zaidi.
ulikuwa unamaanisha neno utu wanrifaa propaganda za kijinga walizokuwa wanafanya watu kwa msiba uliotokea kama ni hivyo kweli watakuwa mabogasi....................Yaani mnafafnua msingi ya chama jamii forums? Kwa nini msifanye mikutano ya wazi mkawaambia wananchama wenu hayo mambo yenu km mnao? Nyie ACT na CCM mnataka kutumia msiba kujiongezea point lakini sio jambo zuri hata kidogo!
hata katiba yao bado haijakamilika iweje ofisi?Ofisi zenu mmeshamaliza kuzijenga?
Nilichogundua cdm wanaiogopa sana act kuliko wanavyoiogopa ccm
Yaani mnafafnua msingi ya chama jamii forums? Kwa nini msifanye mikutano ya wazi mkawaambia wananchama wenu hayo mambo yenu km mnao? Nyie ACT na CCM mnataka kutumia msiba kujiongezea point lakini sio jambo zuri hata kidogo!