ACT-Tanzania na CHADEMA, majirani wema

ACT-Tanzania na CHADEMA, majirani wema

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,777
Reaction score
42,921
attachment.php

Ofisi ya ACT-Tanzania na ofisi ya CHADEMA zikiwa jengo moja wilaya ya Arusha vijijini.
 

Attachments

  • 1410860083386.jpg
    1410860083386.jpg
    32.4 KB · Views: 1,780
Huuu ni upuuzi mkubwa. Sometimes tunatakiwa kutumia common sense kufanya baadhi ya mambo yetu
 
Huuu ni upuuzi mkubwa. Sometimes tunatakiwa kutumia common sense kufanya baadhi ya mambo yetu
Elli hapo kuna mmoja alikuwepo mwingine kamfuata hapo na ni jambo la ajabu sana kama sio uchokozi wa wazi kabisa
halafu karibu Arusha bana
 
Last edited by a moderator:
Kumbe gfsonwin nae anaipenda enhee
Sasa mbona mie kulitamka jina lako ulimi unajifunga kabisa? Maieee, kama jina la nambari 9 wa tmu ya mkoa wa Kilimnjaro mwanzoni mwa miaka ya 1980, mb...or..o! Kabsa kabsa yaani utadhani nataka kuvuka barabara. Kuna mwalimu wangu wa sociology aliitwa Dr Ng....uma, naye hakutaka jina la pili kuitwa. Hivi, Moshi siwezi kuishi mimi? nitawaitaje?
 
wakawaulize airtel money walivyopotezwa na mpesa na sasa fuatilia vumbi la m pawa na wekeza ndo utjua kuiga ni mbaya.
 
Back
Top Bottom