ACT-Tanzania na CHADEMA, majirani wema

ACT-Tanzania na CHADEMA, majirani wema

...lakini kuna wilaya ya Arusha vijijini kweli?? Mi sijawahi kuisikia
 
Waingereza wanasema, A picture is worth a thousand words.

Picha kama hii inatoa mwelekeo wa sababu zinazowafanya baadhi ya mashabiki, wapenzi na wanachama wa CHADEMA kudhani ujio wa ACT-Wazalendo ni nyundo ya ukuaji wa CHADEMA au kizingiti cha kuifanya CHADEMA kupewa dola.

Kwangu mimi sikubaliani na hoja hizi kwa sababu ukuaji, kudumaa au kifo cha chama kimejengeka katika Busara na Hekima za viongozi wa chama, Itikadi, Falsafa na Sera zake.

Kukosekana kwa hekima na busara na pia kufirisika kwa Itikadi, Falsafa na Sera katika chama ni tiketi iliyokamilika katika kukipeleka chama kwenye kaburi la kisiasa.

Vyama vya siasa nchini haviwezi kumalizwa nguvu kwa ujio wa chama kingine kwa sababu kuna Watanzania zaidi ya million 30 ambao siyo wanachama wa chama chochote cha siasa. Hawa wananchi wasiokuwa wanachama ni soko kubwa sana kwa vyama makini vya siasa katika kupata msingi na nguzo ya kuwawezesha kupewa dola.

Picha hii inaweza ikawa ni distraction kwa wahusika hasa kama madhumuni ya uwepo wa ofisi yamejengeka katika mitazamo hasi.

Watu watajiuliza maswali,

1)Kwa nini ofisi ziwe katika jengo moja?.

2)Chama kipi kilianza kufungua ofisi kati yao?.

Kwa kutumia jicho la kisiasa katika msingi wa Political correctness, hii siyo picha nzuri kwa wahusika.

Kwa kutumia jicho pevu lenye msingi wa demokrasia, kuwa na ofisi katika jengo moja hakutobadilisha uwepo wa nguvu au udhaifu wa kisiasa kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA.

Mwaka huu tutaona na kusikia mengi!

picha.jpg
 
Hata shetani hujigeuza kuwa malaika wa nuru ili aharibu, ni sawa na chama cha kitemi cha ACT ambacho life span yake ni ndogo sana since kimejengwa kwenye misingi ya kisaliti na kifitini, October ndiyo jawabu la yote.
 
Hiyo picha ya zamani ACT walishatimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi ....muulize Mwigamba .....
 
October mbona mbali chadema inakufa kampeni zikianza tu!
 
Waingereza wanasema, A picture is worth a thousand words. Picha kama hii inatoa mwelekeo wa sababu zinazowafanya baadhi ya mashabiki, wapenzi na wanachama wa CHADEMA kudhani ujio wa ACT-Wazalendo ni nyundo ya ukuaji wa CHADEMA au kizingiti cha kuifanya CHADEMA kupewa dola. Kwangu mimi sikubaliani na hoja hizi kwa sababu ukuaji, kudumaa au kifo cha chama kimejengeka katika Busara na Hekima za viongozi wa chama, Itikadi, Falsafa na Sera zake. Kukosekana kwa hekima na busara na pia kufirisika kwa Itikadi, Falsafa na Sera katika chama ni tiketi iliyokamilika katika kukipeleka chama kwenye kaburi la kisiasa. Vyama vya siasa nchini haviwezi kumalizwa nguvu kwa ujio wa chama kingine kwa sababu kuna Watanzania zaidi ya million 30 ambao siyo wanachama wa chama chochote cha siasa. Hawa wananchi wasiokuwa wanachama ni soko kubwa sana kwa vyama makini vya siasa katika kupata msingi na nguzo ya kuwawezesha kupewa dola. Picha hii inaweza ikawa ni distraction kwa wahusika hasa kama madhumuni ya uwepo wa ofisi yamejengeka katika mitazamo hasi. Watu watajiuliza maswali, 1)Kwa nini ofisi ziwe katika jengo moja?. 2)Chama kipi kilianza kufungua ofisi kati yao?. Kwa kutumia jicho la kisiasa katika msingi wa Political correctness, hii siyo picha nzuri kwa wahusika. Kwa kutumia jicho pevu lenye msingi wa demokrasia, kuwa na ofisi katika jengo moja hakutobadilisha uwepo wa nguvu au udhaifu wa kisiasa kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA. Mwaka huu tutaona na kusikia mengi!
picha.jpg
Hawa jamaa wanatafuta shida..kwa jinsi najua baadhi ya watu na hasira zao..ipo siku ACT watakimbia km wamefumaniwa.Sasa wanataka wapate haki ya kusikiliza na kufanya mikutano siku CDM wanafanya?au siku nyingine waondoke na karatasi au majarida yenye list za wanachama na mawasiliano yao.Au documents za minutes.....
 
Waingereza wanasema, A picture is worth a thousand words.

Picha kama hii inatoa mwelekeo wa sababu zinazowafanya baadhi ya mashabiki, wapenzi na wanachama wa CHADEMA kudhani ujio wa ACT-Wazalendo ni nyundo ya ukuaji wa CHADEMA au kizingiti cha kuifanya CHADEMA kupewa dola.

Kwangu mimi sikubaliani na hoja hizi kwa sababu ukuaji, kudumaa au kifo cha chama kimejengeka katika Busara na Hekima za viongozi wa chama, Itikadi, Falsafa na Sera zake.

Kukosekana kwa hekima na busara na pia kufirisika kwa Itikadi, Falsafa na Sera katika chama ni tiketi iliyokamilika katika kukipeleka chama kwenye kaburi la kisiasa.

Vyama vya siasa nchini haviwezi kumalizwa nguvu kwa ujio wa chama kingine kwa sababu kuna Watanzania zaidi ya million 30 ambao siyo wanachama wa chama chochote cha siasa. Hawa wananchi wasiokuwa wanachama ni soko kubwa sana kwa vyama makini vya siasa katika kupata msingi na nguzo ya kuwawezesha kupewa dola.

Picha hii inaweza ikawa ni distraction kwa wahusika hasa kama madhumuni ya uwepo wa ofisi yamejengeka katika mitazamo hasi.

Watu watajiuliza maswali,

1)Kwa nini ofisi ziwe katika jengo moja?.

2)Chama kipi kilianza kufungua ofisi kati yao?.

Kwa kutumia jicho la kisiasa katika msingi wa Political correctness, hii siyo picha nzuri kwa wahusika.

Kwa kutumia jicho pevu lenye msingi wa demokrasia, kuwa na ofisi katika jengo moja hakutobadilisha uwepo wa nguvu au udhaifu wa kisiasa kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA.

Mwaka huu tutaona na kusikia mengi!

picha.jpg
HIYO ya kulia si ofisi bali ni duka, laiti ingekuwa ofisi sidhani kama uongozi wa mtaa au kijiji ungeruhusu chama cha ACT kufungua ofisi hapo.
 
chadema hawana ofisi za chama bali wana vituo vya saccos yao.
 
HIYO ya kulia si ofisi bali ni duka, laiti ingekuwa ofisi sidhani kama uongozi wa mtaa au kijiji ungeruhusu chama cha ACT kufungua ofisi hapo.

Acha uongo we kijana , Duka lina bendera na halionyeshi kuwa na vitu vya kuuza? utakuwa unamakengeza sana si bure.
 
Waingereza wanasema, A picture is worth a thousand words.

Picha kama hii inatoa mwelekeo wa sababu zinazowafanya baadhi ya mashabiki, wapenzi na wanachama wa CHADEMA kudhani ujio wa ACT-Wazalendo ni nyundo ya ukuaji wa CHADEMA au kizingiti cha kuifanya CHADEMA kupewa dola.

Kwangu mimi sikubaliani na hoja hizi kwa sababu ukuaji, kudumaa au kifo cha chama kimejengeka katika Busara na Hekima za viongozi wa chama, Itikadi, Falsafa na Sera zake.

Kukosekana kwa hekima na busara na pia kufirisika kwa Itikadi, Falsafa na Sera katika chama ni tiketi iliyokamilika katika kukipeleka chama kwenye kaburi la kisiasa.

Vyama vya siasa nchini haviwezi kumalizwa nguvu kwa ujio wa chama kingine kwa sababu kuna Watanzania zaidi ya million 30 ambao siyo wanachama wa chama chochote cha siasa. Hawa wananchi wasiokuwa wanachama ni soko kubwa sana kwa vyama makini vya siasa katika kupata msingi na nguzo ya kuwawezesha kupewa dola.

Picha hii inaweza ikawa ni distraction kwa wahusika hasa kama madhumuni ya uwepo wa ofisi yamejengeka katika mitazamo hasi.

Watu watajiuliza maswali,

1)Kwa nini ofisi ziwe katika jengo moja?.

2)Chama kipi kilianza kufungua ofisi kati yao?.

Kwa kutumia jicho la kisiasa katika msingi wa Political correctness, hii siyo picha nzuri kwa wahusika.

Kwa kutumia jicho pevu lenye msingi wa demokrasia, kuwa na ofisi katika jengo moja hakutobadilisha uwepo wa nguvu au udhaifu wa kisiasa kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA.

Mwaka huu tutaona na kusikia mengi!

picha.jpg

Chadema walifunga ofisi hapo baada ya kushindwa kulipia kodi ya pango,
 
Mkuu Ng'wamapalala hizo ofisi mbili zinanipa tafsiri tofauti kabisa.
1. ACT iko wazi kwa maana ingine inaoparate wakati chadema imefungwa na haifanyi kazi kuwahudumia wanachama wake
2. ACT iko wazi kwa maana hawana wasiwasi wakati ya chadema imefungwa kwa sababu wale ndugu zetu ni wezi na wanahisi muda wowote inaweza ibiwa hata stamp ya ofisi
3. Kwa kiswahili kusoma na kaundika huanzia kushoto kwenda kulia na hiyo ni meseji tosha kuwa ni ofisi gani ya kuanza nayo
4. ACT inaonesha kupakwa rangi ya zambarau inayovutia na maandishi meupe ikiashiria amani wakati hiyo ya chadema inaonesha rangi nyekundu kwa maana ya umwagaji wa damu pamoja na kuwa ina nyeupe ikiwa ni ishara ya amani.
5. Nitarudi kwa uchambuzi zaidi ngoja kwanza nikahudhurie mkutano wa Zitto!

Waingereza wanasema, A picture is worth a thousand words.

Picha kama hii inatoa mwelekeo wa sababu zinazowafanya baadhi ya mashabiki, wapenzi na wanachama wa CHADEMA kudhani ujio wa ACT-Wazalendo ni nyundo ya ukuaji wa CHADEMA au kizingiti cha kuifanya CHADEMA kupewa dola.

Kwangu mimi sikubaliani na hoja hizi kwa sababu ukuaji, kudumaa au kifo cha chama kimejengeka katika Busara na Hekima za viongozi wa chama, Itikadi, Falsafa na Sera zake.

Kukosekana kwa hekima na busara na pia kufirisika kwa Itikadi, Falsafa na Sera katika chama ni tiketi iliyokamilika katika kukipeleka chama kwenye kaburi la kisiasa.

Vyama vya siasa nchini haviwezi kumalizwa nguvu kwa ujio wa chama kingine kwa sababu kuna Watanzania zaidi ya million 30 ambao siyo wanachama wa chama chochote cha siasa. Hawa wananchi wasiokuwa wanachama ni soko kubwa sana kwa vyama makini vya siasa katika kupata msingi na nguzo ya kuwawezesha kupewa dola.

Picha hii inaweza ikawa ni distraction kwa wahusika hasa kama madhumuni ya uwepo wa ofisi yamejengeka katika mitazamo hasi.

Watu watajiuliza maswali,

1)Kwa nini ofisi ziwe katika jengo moja?.

2)Chama kipi kilianza kufungua ofisi kati yao?.

Kwa kutumia jicho la kisiasa katika msingi wa Political correctness, hii siyo picha nzuri kwa wahusika.

Kwa kutumia jicho pevu lenye msingi wa demokrasia, kuwa na ofisi katika jengo moja hakutobadilisha uwepo wa nguvu au udhaifu wa kisiasa kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA.

Mwaka huu tutaona na kusikia mengi!

picha.jpg
 
Waingereza wanasema, A picture is worth a thousand words.

Picha kama hii inatoa mwelekeo wa sababu zinazowafanya baadhi ya mashabiki, wapenzi na wanachama wa CHADEMA kudhani ujio wa ACT-Wazalendo ni nyundo ya ukuaji wa CHADEMA au kizingiti cha kuifanya CHADEMA kupewa dola.

Kwangu mimi sikubaliani na hoja hizi kwa sababu ukuaji, kudumaa au kifo cha chama kimejengeka katika Busara na Hekima za viongozi wa chama, Itikadi, Falsafa na Sera zake.

Kukosekana kwa hekima na busara na pia kufirisika kwa Itikadi, Falsafa na Sera katika chama ni tiketi iliyokamilika katika kukipeleka chama kwenye kaburi la kisiasa.

Vyama vya siasa nchini haviwezi kumalizwa nguvu kwa ujio wa chama kingine kwa sababu kuna Watanzania zaidi ya million 30 ambao siyo wanachama wa chama chochote cha siasa. Hawa wananchi wasiokuwa wanachama ni soko kubwa sana kwa vyama makini vya siasa katika kupata msingi na nguzo ya kuwawezesha kupewa dola.

Picha hii inaweza ikawa ni distraction kwa wahusika hasa kama madhumuni ya uwepo wa ofisi yamejengeka katika mitazamo hasi.

Watu watajiuliza maswali,

1)Kwa nini ofisi ziwe katika jengo moja?.

2)Chama kipi kilianza kufungua ofisi kati yao?.

Kwa kutumia jicho la kisiasa katika msingi wa Political correctness, hii siyo picha nzuri kwa wahusika.

Kwa kutumia jicho pevu lenye msingi wa demokrasia, kuwa na ofisi katika jengo moja hakutobadilisha uwepo wa nguvu au udhaifu wa kisiasa kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA.

Mwaka huu tutaona na kusikia mengi!

picha.jpg

Yani mchaga haachi asili,hiyo ni ofisi au duka.
 
Hawa jamaa wanatafuta shida..kwa jinsi najua baadhi ya watu na hasira zao..ipo siku ACT watakimbia km wamefumaniwa.Sasa wanataka wapate haki ya kusikiliza na kufanya mikutano siku CDM wanafanya?au siku nyingine waondoke na karatasi au majarida yenye list za wanachama na mawasiliano yao.Au documents za minutes.....
ni kawaida yenu kutangulza vurugu ma cdm.
 
Back
Top Bottom