ACT-Tanzania na CHADEMA, majirani wema

ACT-Tanzania na CHADEMA, majirani wema

Mleta mada usidhani uko mwenyewe katika eneo unalotoa habari.

eneo hili la maeneo ya Texas Ngaramtoni lina watu wengi wa singida na kondoa ambao ni waislamu wengi.

Chama cha zitto kina muelekeo wa kiislamu na hili ni thibitisho mojawapo.

karibu au jirani na eneo hili kuna msikiti ...mleta mada tuoneshe na picha za misikiti.
 
Ukipigia kura ACT ujue umepoteza kura yako maana wanachamaa wake hata,wawe wengi kiasi gani hawaez kufikia idadi ya wanachama wa chadema jimbo la moshi mjini....kwanza Act ndio nni watu wanasambaza kadi za chama kwenye magar hata haziishi 100 kwa siku huku dr slaa akisomba wanachama hadi 500 kwa mkutano mmoja tu
 
Mbona zinaingizwa hoja za dini tena! Yaani ma great thinkers tumefikia hatua hii?
 
Acheni siasa Za chuki Cdm ni chama kikubwa na chakisasa zaidi hawezi kuwa na ofisi mbaya kama duka acheni unafiki .
 
Moja kapanga mwingine kamfuata hapo hapo kama si kutafuta fitna nini

Hakuna fitina mkuu watu wanafuata sera Siyo ofisi after all wabongo wengi hawatembelei ofisi za vyama unless necessited
 
UGOMVI UNALETWA NA MBOWE KUTUGOMBANISHA ; SISI ACT ; NI JIRANI WEMA NA UKAWA

UDUGU UTARUDI; NA JOKA MBOWE ATAHAIBIKA

attachment.php
 
Back
Top Bottom