ACT-Tanzania kutoshiriki uchaguzi serikali za mitaa

Chama hakina hata katiba wala viongozi wa kitaifa kitafanyaje uchaguzi! anayebisha anitajie katibu mkuu wa hiyo ACT ni nani?

Act ni chama cha siasa kilichoundwa kwa malengo maalum, kilikufa hata kabla hakijazaliwa, kwakuwa lengo kuu lilikuwa kukivuruga CHADEMA, mission ambayo ilishindwa vibaya sana

Ofisi zake nyingi zilizozinduliwa kwa makeke mengi Leo zimebaki na makufuli milangoni kimsingi hakipo tena
 
1416759743578.jpg

1416759761779.jpg

1416759788457.jpg
 
hapa arusha kuna yule aliefukuzwa udiwani chadema akahamia cuf ndg. Bayo sasa mwezi huu kahamia tena act nasikia kachukua fomu
 
kwa vile wewe ni mhongo' mumbea'mpenda mjungu
.napenda kukwambia kuwa kila wilaya.kila mkoa.kila mtaa tuna wagombea na wamerudisha FORMU zao jana.tusubili uchaguzi 14/12/2014

Kumbe FORMU,mie nikadhan Form
 
Lengo lao ni kuvuruga upinzani tu, sio kushiriki uchaguzi. Chama cha wasaliti.
Ova
 
kwa vile wewe ni mhongo' mumbea'mpenda mjungu
.napenda kukwambia kuwa kila wilaya.kila mkoa.kila mtaa tuna wagombea na wamerudisha FORMU zao jana.tusubili uchaguzi 14/12/2014

Huyu mkuu ni wa nchi gani !?? angalieni lugha yake !! Maafisa wa uhamiaji mna kazi gani jamani wahamiaji haramu wanatamba huku.
 
Back
Top Bottom