Centrehalf
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 509
- 145
Salaam wanajamvi,
Napenda kujua chama cha ACT-Tanzania mpaka sasa kimefungua matawi mangapi,na katika mikoa gani?Maana juzi nilikuwa Mbeya sijabahatika kuona bendera ya ACT-Tanzania,hata Arusha,Dodoma,Morogoro,Iringa,Songea kote huko nimepita sijafanikiwa kuiona bendera hata moja ya ACT-Tanzania au hawajafika bado mikoa hii na kama hawajafika watashirikije uchaguzi wa serikali za mtaa utakaofanyika hivi karibuni au wamejitoa?
Naomba kuwasilisha.