ACT- Tanzania baada ya kupata usajili wa kudumu wamefungua matawi mangapi?

Centrehalf

JF-Expert Member
Jun 9, 2013
509
145
Salaam wanajamvi,

Napenda kujua chama cha ACT-Tanzania mpaka sasa kimefungua matawi mangapi,na katika mikoa gani?Maana juzi nilikuwa Mbeya sijabahatika kuona bendera ya
ACT-Tanzania,hata Arusha,Dodoma,Morogoro,Iringa,Songea kote huko nimepita sijafanikiwa kuiona bendera hata moja ya ACT-Tanzania au hawajafika bado mikoa hii na kama hawajafika watashirikije uchaguzi wa serikali za mtaa utakaofanyika hivi karibuni au wamejitoa?

Naomba kuwasilisha.
 
ACT ina matawi mwandiga,facebook, twitter na jf.ila hapa jf wanachama hawazidi 5 wakiongozwa na bethlem na njano 5!
 
ACT - Tanzania sio chama cha shoo, hawawezi kuweka bendera ili wakufurahishe wewe, ulipokuwa ukizunguka kutafuta bendera za ACT - Tanzania ulipandisha ngapi za chama chako. ACT - Tanzania sio chama cha mlipuko ni chama kinachoundwa na watanzania wenye utulivu wa fikra wanaofikiri kabla ya kutenda. ACT - Tanzania ni kama maji utayanywa tu kama sio kuyaoga. Watanzania jengeni vyama vyenu ACT - Tanzania wako busy kujenga chama chao kwa staili ya ushindi. Leo mnatoa ushauri kwa ACT - Tanzania wakati mkiwa na rank sawa na mmekuwapo kwa miongo miwili na hamja achieve chochote zaidi ya blaablaa. Tujifunze kutokufuatafuata maisha ya wengine wakati ya kwetu hayako sawa
 
act - tanzania sio chama cha shoo, hawawezi kuweka bendera ili wakufurahishe wewe, ulipokuwa ukizunguka kutafuta bendera za act - tanzania ulipandisha ngapi za chama chako. Act - tanzania sio chama cha mlipuko ni chama kinachoundwa na watanzania wenye utulivu wa fikra wanaofikiri kabla ya kutenda. Act - tanzania ni kama maji utayanywa tu kama sio kuyaoga. Watanzania jengeni vyama vyenu act - tanzania wako busy kujenga chama chao kwa staili ya ushindi. Leo mnatoa ushauri kwa act - tanzania wakati mkiwa na rank sawa na mmekuwapo kwa miongo miwili na hamja achieve chochote zaidi ya blaablaa. Tujifunze kutokufuatafuata maisha ya wengine wakati ya kwetu hayako sawa

unaandika uongo kwa manufaa ya nani ?
 
Miaka 22 ya chadema wameshindwa kujenga hata makao makuu.
Unatoa wapi ujasili wa kuhoji matawi ya chama kisikokua hata na miezi 6??? Nina wasiwasi na uelewa wako au hangover za viroba vya wkend hazjaisha?
Kanywe soup ya kongoro bado mapema.
 
Salaam wanajamvi,

Napenda kujua chama cha ACT-Tanzania mpaka sasa kimefungua matawi mangapi,na katika mikoa gani?Maana juzi nilikuwa Mbeya sijabahatika kuona bendera ya
ACT-Tanzania,hata Arusha,Dodoma,Morogoro,Iringa,Songea kote huko nimepita sijafanikiwa kuiona bendera hata moja ya ACT-Tanzania au hawajafika bado mikoa hii na kama hawajafika watashirikije uchaguzi wa serikali za mtaa utakaofanyika hivi karibuni au wamejitoa?

Naomba kuwasilisha.

UNAAMBIWA MWENYEKITI wake NDUGU KADAWI LIMBU NDIYF KATIBU WA ADC , SASA ASAMBAZE ACT au ADC ?
 
Uongo kusema kwamba mnahangaika na ACT - Tanzania badala ya kujenga chama chenu. ACT -Tanzania hawana sababu yoyote ya kuja kwako kukueleza wanafanya nini, ishi maisha yako acha na wengine waishi wanavyodhani inafaa cha msingi wasivunje sheria za nchi
 
Miaka 22 ya chadema wameshindwa kujenga hata makao makuu.
Unatoa wapi ujasili wa kuhoji matawi ya chama kisikokua hata na miezi 6??? Nina wasiwasi na uelewa wako au hangover za viroba vya wkend hazjaisha?
Kanywe soup ya kongoro bado mapema.

swali RAHISI LAKINI MAPOVU PIPA ZIMA ! JIBU SWALI , NDIYO MAANA MNAFELI MITIHANI NYIE VIJANA .
 
Uongo kusema kwamba mnahangaika na ACT - Tanzania badala ya kujenga chama chenu. ACT -Tanzania hawana sababu yoyote ya kuja kwako kukueleza wanafanya nini, ishi maisha yako acha na wengine waishi wanavyodhani inafaa cha msingi wasivunje sheria za nchi

HAKUNA MSALITI ALIYEWAHI KUFANIKIWA , nitajie hata mmoja unayemjua AKASALITI HALAFU AKAFANIKIWA .
 
CCJ type.
Hawa jamaa walikurupuka kuanzisha chama baada kufukuzwa chadema,hawakujiandaa.
Pia ujio wa UKAWA ni pigo kubwa sana kwa hawa ACT.
 
Salaam wanajamvi,

Napenda kujua chama cha ACT-Tanzania mpaka sasa kimefungua matawi mangapi,na katika mikoa gani?Maana juzi nilikuwa Mbeya sijabahatika kuona bendera ya
ACT-Tanzania,hata Arusha,Dodoma,Morogoro,Iringa,Songea kote huko nimepita sijafanikiwa kuiona bendera hata moja ya ACT-Tanzania au hawajafika bado mikoa hii na kama hawajafika watashirikije uchaguzi wa serikali za mtaa utakaofanyika hivi karibuni au wamejitoa?

Naomba kuwasilisha.
Halafu ukishajua itakusaidia nini?
 
HAKUNA MSALITI ALIYEWAHI KUFANIKIWA , nitajie hata mmoja unayemjua AKASALITI HALAFU AKAFANIKIWA .

Msaliti ni nani? shida kubwa tuliyonayo watanzania ni kuwaachia watu wengine wafikiri kwa niaba yetu. Hao waanzilishi wa ACT ni wasaliti na mnajua hawatafanikiwa kama ambavyo wengine hawajafanikiwa, kwanini msiwaache waendelee kuhangaika kwa kuwa hawatafanikiwa. Nini sababu ya kukosa usingizi kwa watu unaojua hawatafanikiwa. Badilisheni fikra na mitazamo yenu na tumie muda wenu kutengeneza taasisi zenu. Simple mind wanajadili watu wengine
 
Miaka 22 ya chadema wameshindwa kujenga hata makao makuu.
Unatoa wapi ujasili wa kuhoji matawi ya chama kisikokua hata na miezi 6??? Nina wasiwasi na uelewa wako au hangover za viroba vya wkend hazjaisha?
Kanywe soup ya kongoro bado mapema.
Onyesha hata ofisi moja iliyojengwa na CCM zaidi ya kugeuza nyumba za serikali kufanya za CCM,Misaada ya vijana kama kutoka korea kujenga jumba la vijana
 
Msaliti ni nani? shida kubwa tuliyonayo watanzania ni kuwaachia watu wengine wafikiri kwa niaba yetu. Hao waanzilishi wa ACT ni wasaliti na mnajua hawatafanikiwa kama ambavyo wengine hawajafanikiwa, kwanini msiwaache waendelee kuhangaika kwa kuwa hawatafanikiwa. Nini sababu ya kukosa usingizi kwa watu unaojua hawatafanikiwa. Badilisheni fikra na mitazamo yenu na tumie muda wenu kutengeneza taasisi zenu. Simple mind wanajadili watu wengine
hakuna akina Tumpale wajinga kama wewe wale watu wanajitambua unashadidia marehemu
 
Salaam wanajamvi,

Napenda kujua chama cha ACT-Tanzania mpaka sasa kimefungua matawi mangapi,na katika mikoa gani?Maana juzi nilikuwa Mbeya sijabahatika kuona bendera ya
ACT-Tanzania,hata Arusha,Dodoma,Morogoro,Iringa,Songea kote huko nimepita sijafanikiwa kuiona bendera hata moja ya ACT-Tanzania au hawajafika bado mikoa hii na kama hawajafika watashirikije uchaguzi wa serikali za mtaa utakaofanyika hivi karibuni au wamejitoa?

Naomba kuwasilisha.

acha uchizi...act ina matawi nchi nzima...mwehu wewe
 
Back
Top Bottom