ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

Chama cha wasomi ni ACT na cha vilaza ni Chadema.

kama lengo lenu si kuchukua dola bali kupambana na CDM,basi watz wana kila sababu ya kukikataa hicho chama cha waasi!!!
na nadhani kitakufa hata kabla ya kupata usajili wa kudumu!!!
 
ACT ndio mkombozi wa watanzania. Kinakua haraka sana Arusha.

uko sahihi mkuu, yule mwizi wa magari na mwehu act tutamng'oa kwenye uchaguzi mwakani, arusha tutaweka mbunge makini
 
kila raheri ACT nipo tayari kuwa mwanachama wa chama hicho, kuna jimbo wilaya ya kwimba mwanza linahitaji ukombozi

hivi unaifahamu kwimba au unaota???
wasukuma wa leo si mbulura kama nyie wasaliti wakubwa!!!
 
Unachekesha sana mkuu. Hivi huwezi kuacha msimamo wa cdm wa kukashifu makabila mengine. Badilika mkuu.
 
act ni kama maji, usipoyanywa utayaoga
 
hivi kwanini asilimia 100 ya wanaosapoti ACT wengi ni wafuasi wa ccm,kuna siri gani

Mkuu wanaosapoti ACT ni watanzania wazalendo wote kutoka vyama vyote, dini zote, makabila yote na taasisi zote zenye nia njema na tanzania yenye rasilimali chungu nzima ila zimekosa usimamizi mzuri. ACT ndio jibu la watanzania. Sasa umefika wakati wa watanzania kukombolewa na chama chao ACTndio jibu. Mungu bariki Afrika, mungu ibariki tanzania, mungu bariki ACT...Amen.!!!!!
 
karibu sana mkuu. uchaguzi wa viongozi wa kitaifa, kimkoa na kiwilaya utafanyika soon. sasa hivi kuna viongozi wa muda tu, hiki ni chama cha kidemokrasia

demokrasia ya kuchumia tumbo na usaliti,chama cha makundi hakina hata bendera.mdhamini wenu tiss danganya majinga wenzako.wadini ninyi
 
Chadema wasipomuomba msamaha zitto wamekwisha mapema kabisa.
 

Tija ni kufanya kazi kwa bidii na sio kujitayarisha kila muda kuwa mfuasi wa kikundi! hii biashara ya kungojea kikundi fulani kikutatulie matatizo ni ukilema wa kusita kujitendea mazuri!
 

Ni nini kirefu cha act?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…