respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,844
Hawa Uvccm shida
kweli, wao hoja ni CDM na si chama kinachoongoza, ndio maana mi
nakubaliana na kauli ya kuwa CDM inaongoza nchi maccm yanatawala mfn.
katiba mpya haikuwa agenda yao, maoni ya rasimu 75% ni mapendekezo ya
CDM
Cc; abakorakamo
Badili kichwa cha habari yako, umeongelea kuwakomboa Watanzania, kwa nini kiwe mbadala wa CHADEMA, kwani nchi hii inatawaliwa na CDM? Kama kitawakomboa wtz, basi ni kutoka kwa wale ambao wanawatawala, yaani magamba, kwa hiyo kiwe chama mbadala cha CCM. Au ndio wamekutuma mpaka unaandika habari ambayo haina mantiki?Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.
Badili kichwa cha habari yako, umeongelea kuwakomboa Watanzania, kwa nini kiwe mbadala wa CHADEMA, kwani nchi hii inatawaliwa na CDM? Kama kitawakomboa wtz, basi ni kutoka kwa wale ambao wanawatawala, yaani magamba, kwa hiyo kiwe chama mbadala cha CCM. Au ndio wamekutuma mpaka unaandika habari ambayo haina mantiki?
Takbilllllllllll alahwakbal teh teh teh .karibu kwenye chama cha kiislam.Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.
Mnahangaika sana kukipigia debe chama chenu kingine(actccm) kwa kuwakusanya wasaliti,wala rushwa,matapeli na wote wenye sifa chafu ili wawe pamoja,hahahaaaaaaaaa! Hata mkiunda vyama 1000 kushindana na chadema hizo zitabaki kuwa hadidhi.mbowe na slaa usiku wanaweweseka kwa kuiogopa ACT
@ abakorakamo wewe mzima kweli, vijana gani tujiunge kwenye chama chenye mkono wa makachero na ufadhili wao, huyooo mdini na mkabila ndiye msomi acheni kutumia ujinga wa tanzania kuwaibia ninyi makanjanja.......hicho si chama cha kigoma japo wanakigoma waelewa hawawezi kupoteza muda kwenye hilo genge la wasariti
kamuulize lema
Mbadala wa TFFWakuu, Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana. Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT. ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao, Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania. ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT. Naomba kuwakilisha hoja.
kila raheri ACT nipo tayari kuwa mwanachama wa chama hicho, kuna jimbo wilaya ya kwimba mwanza linahitaji ukombozi
Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.
karibu sana mkuu. uchaguzi wa viongozi wa kitaifa, kimkoa na kiwilaya utafanyika soon. sasa hivi kuna viongozi wa muda tu, hiki ni chama cha kidemokrasia