ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?


Akikujibu atakuita msukule au mhafidhina
 
How! hakuna kitu kama hicho lazima kuwe na representatives,ambao ni kama mwenyekiti,katibu and the like.Halafu ulivonijibu na ulivoandika post yako unaona kuna ulinganifu

mkuu. ACT ni chama cha watanzania , maamuzi mengi ya chama yatakuwa yanafanywa na watanzania. sio kama chadema maamuzi yake yanafanywa na mzee mtei pale shambani kwake tengeru
 


Kuna uhusiano gani kati ya Kuandikishwa na Kujiunga na chama?
kweli kama wewe ndio katibu mwenezi wao, sasa huo usomi upo wapi? au mmesoma lakini hamjaelimika?
 

hivi nyakarungu ni nesi au daktari
 
Hakuna chama kikingine kitaimarika nje ya Chadema! Acheni porojo, hiko ni chama chao na wake zao wenye njaa
 
hiki chama kiko wapi kwani? kinajihusisha na nini? viongozi wake ndo akina nani haooo?

 
Kuna uhusiano gani kati ya Kuandikishwa na Kujiunga na chama?
kweli kama wewe ndio katibu mwenezi wao, sasa huo usomi upo wapi? au mmesoma lakini hamjaelimika?

mkuu. ACT ni chama makini sana. kuna vijana wengi wa act hawajajiandikisha kupiga kura. ndio mana tunaomba daftari la mpiga kura ili vijana wote wajiandikishe na kupigia kura chama chao wanachokipenda cha act
 
hawajamaa wanaingia na Gia MBAYA sana. kuwa mpinzani wa mpinzani mkuu tafsiri ya wazi kuwa wewe ni CCM ni bora wakasimama kivyao kuliko kutegemea kuikandia CDM zaidi badala ya wahusika wakuu(CCM). Kwa staili hiyo watachuja mapema sana kama BONGO FLEVA. Ni dhahili chuki binafsi na tamaa za madaraka hazito shinda ukweli. lets wait
 
Brother "K" hapa naona watu watakutarayi!
Lkn ngonja nichangie,mi naona sio mbadala wa chama chochote kufuatia jina lenyewe ni neno la kiingereza lenye maana ya igiza/kuigiza.
Nchi hii kama maigizo tumeishaona mengi,tunataka watu wanaomaanisha kama vile CHADEMA tuwape nchi ccm wameishafanya walichoweza wameweza,walichoshindwa kila mtz anajua,hizi story
za mbadala utatuletea uchaguzi wa mwaka 2020 baada ya kuipima ubavu CDM.
 
Habari za likizo kwanza Mkuu......, nasikitika sana kama nawewe mpaka leo unaupeo wa kiwango hiki, unajua sifa za chama cha siasa kusajiliwa ama kwa muda au usajiri wa kudumu, kama hujui basi hukutakiwa kui-attack hoja yangu juu ya mwanzaishaji na udini wake au ukanda wake, kama hakina mwanzilishi kamuulize jaji mutungi kwanini amesajiri chama kisicho na aliyekianzisha na kimekujaje kama hakina aliyekianzisha kuwa makini bwana si lazima kila hoja uchangie hata kama hujaielewa.
 
mkuu. ACT ni chama makini sana. kuna vijana wengi wa act hawajajiandikisha kupiga kura. ndio mana tunaomba daftari la mpiga kura ili vijana wote wajiandikishe na kupigia kura chama chao wanachokipenda cha act
CCJ ilianza kwa mbwembwe namna hii,na washabiki wake walikuwa vijana
walipoonyeshwa mabakuli ya ubwabwa hata leo hawataki kusikia kitu inaitwa CCJ.
 

kirefu cha act ni Alliance for Change and Transparency, acha kuongea mashudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…