tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
"Wakati tu mchakato umetangazwa, Kiongozi wetu wa Chama, ndugu Dorothy Semu alitangaza hadharani nia yake ya kugombea Urais na alifanya mahojiano na vyombo vya habari na aliendelea kufanya harakati zake za kuwatangazia umma kwamba wakati ukifika atagombea Urais.
"Hadi juzi tumemaliza tulikuwa kwenye ziara. Alikuwa akijinadi kama mgombea Urais. Wapo watu ndani ya Chama wanakidhi na sifa za kugombea Urais. Wana sifa na viongozi wetu wanatuongoza.
Soma pia: Mwenyekiti ACT Wazalendo Dorothy Semu: Nikiteuliwa serikalini sitakubali uteuzi. Sitamani kufanya kazi nyingine zaidi ya ACT
"Huwezi kusema mtu kama Kiongozi wa Chama ambaye anatuongoza wanachama karibu maelfu kwamba hana sifa za kuwa mgombea"- Monalisa Joseph Ndala - Katibu Muenezi ACT- WAZALENDO mkoa wa Dar - es Salaam