ACT ndani ya Star TV hivi sasa

tulieni dawa iwaingie vizuri. walishasema akina Dr. wa ukweli Kitila kuwa tunahitaji mbadala wa ccm na cdm. sasa acha akina Samson Mwigamba wawachachafye kwanza.

hao ni al haramain foundation,OIC ndio wanahudumia shughuli zote,makao makuu ya chama ni kigoma ujiji,katiba rasmi imeandikwa kwa lugha ya kiha na baadae kutafsiriwa kwa kiswahili
 
Acheni kuweweseka, tulieni dawa iwaingie vizuri. walishasema akina Dr. wa ukweli Kitila kuwa tunahitaji mbadala wa ccm na cdm. sasa acha akina Samson Mwigamba wawachachafye kwanza.

tetetete.....YAANI WANAONGEA PUMBA TU, WALA SIMSHAURI MTU KUFUNGUA STAR TV MAANA UTABOREKA TU.
 
hao ni al haramain foundation,OIC ndio wanahudumia shughuli zote,makao makuu ya chama ni kigoma ujiji,katiba rasmi imeandikwa kwa lugha ya kiha na baadae kutafsiriwa kwa kiswahili

mkuu umenena tehe tehe na bendera yao ina nembo ya nyota yenye mfano na al shabab
 
nimewasikiliza sana act, kubwa walilolisema ni lawama tu kuhusu viongozi wa chadema hakuna jambo jipya la kuweza kuvuta hisia za watu wenye akili zao. Na ukiwasikiliza kwa makini sana utagundua kuwa kiongozi wao ni zitto na kwamba chama mwanzilishi ni zitto. But hawana jipya zaidi ya lawama na viongozi wake wote ni wale wahanga wa chadema waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu. Ukitaka kujua haya waulize wewe umetokea chama gani utasikia chadema lakini niliamua kuondoka baada ya kuona katiba ya chadema inapuzwa.
 
Yalipo jitokeza CHADEMA walishauriwa kama hawaridhiki waanzishe chama chao. Sasa wamefanya hivyo ukiacha Zitto ambae bado ni mwanachadema. Ni uungwana tu kuwapa muda kama wana mazuri watawapa watanzia wigo mpana na kama hawana mazuri wananchi wataamua.
 
We unaongea pumba hao ni wanasiasa waliokomaa we wa ajabu MTU akiwa Chadema unamwona mtakatifu akitoka ni kama muumini aliyetenda dhambi. badili fikra CDMA c mama yako
 
Hee!Mbona wamejieleza vizuri au wewe ni msukule umeumizwa na uwezo wao?
Hata mm nimewaona nadhani wale pia ni misukule kwanza bado hawajui hata kujieleza na kutete hoja.wamekurupuka kujiunga na lile shirika la dini flani toka kigoma,mwenzao(ZZK) katumiwa vibaya na yy analipiza kisasi kwa kuwatumia wenzake vibaya wao wajifanya wanamuamini sana,poleni sana wanashirika la kgm ACT.
 
Back
Top Bottom