kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,325
Kazi ya kueneza Uzalendo inaendelea bila ya kuchoka. Kama kawaida nafurahishwa na namna ambavyo ACT Kimepata mapokezi yakutia moyo kwa wapenda siasa safi
ACT Imedhamiria kuwakomboa watanzania.
Inasemekana kuna chama kimoja cha upinzani kiliandaa kikundi cha watu kufanya vurugu, hila hizo zimeshindikana baada ya wapenda uzalendo kuweka ulinzi wa kutosha.
Inasikitisha kuona chama cha upinzani kinapanga kikundi cha kufanya vurugu katika mkutano wa chama kingine cha upinzani.