ACT: Jamani mkutano umeanza mbona mnaondoka sasa????

ACT: Jamani mkutano umeanza mbona mnaondoka sasa????

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Msiondoke jamani Zitto anakuja....


act.jpg

..ACT BILA ZITTO HAIWEZEKANI.
 
Wako wapi wale Lumumba team waje wasaidie na pumba zao
 
kwa mwendo wa kinyonga ipo siku TANZANIA itafika inapokwenda,lakini kwa siasa zetu ni majanga matupu
 
ACT inanitatiza na kitu kimoja kwenye bendera yao "nyota"

Hii nyota inamaana gani wadau? isije ikawa ni hiki ninacho kiwaza na nafikiri watakuwepo pia wengine wenye mawazo kama yangu.
 
ACT inanitatiza na kitu kimoja kwenye bendera yao "nyota"

Hii nyota inamaana gani wadau? isije ikawa ni hiki ninacho kiwaza na nafikiri watakuwepo pia wengine wenye mawazo kama yangu.

Hiyo ni fulimasoni, nyota ya kawaida ncha moja huwa juu hiyo ya kwao ncha mbili ndio ziko juu taleta michoro na graphics soon
 
Picha ya zamani hiyo au kuna mkutano mwingine leo?
 
Hapo walikutana wana ukoo siyo chama ACT imewahi kufanya mkutano popote nchini ikipata idadi ya watu hata 100
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom