ACT - Chama cha Ukweli & Uwazi!

ACT - Chama cha Ukweli & Uwazi!

Sawa mkuu, ila "Fomu" za Zitto zililetwa kwa mbwembwe kweli kweli hapa Jamvini, na tukaahidiwa kuwa ni zoezi endelevu kwa viongozi wote, sembuse kwa chama kama taasisi! Wangalikusudia hilo la kufuatilia taarifa ofisini kwako si wangalisema hivyo tangu mwanzo?

Mkuu act ni saccoss ya wana mwandiga na kiongozi wake mkuu ni zzk
 
Miongoni mwa vyama vilivyokua kwa kasi hapa Tanzania....na kwa muda mfupi ni ACT-Wazalendo
 
Miongoni mwa vyama vilivyokua kwa kasi hapa Tanzania....na kwa muda mfupi ni ACT-Wazalendo

Sijawahi kushuhudia tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze,kiongozi wa chama kuzomewa na kupigwa mawe kama ilivyotokea kwa kiongozi mkuu wa act,kule geita,bukoba na mbeya
 
wewe kama nani unauliza mapato na matumizi ya act?? wenye chama watapewa taarfa kwenye mkutano mkuu sasa wewe subir apa jf

Nilidhani nawe ni muwazi kama lilivyo jina lako. ACT Wazalendo manatakiwa kuuridhisha umma wa watz kuwa vyanzo vya mapato yenu ni halali na vinaendana na matumizi yenu. Hiyo itajenga misingi ya kuaminika miongoni mwa wananchi wazalendo. Kinyume chake uadilifu wa Chama na viongozi wenu utakuwa mashakani.
 
Sijawahi kushuhudia tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze,kiongozi wa chama kuzomewa na kupigwa mawe kama ilivyotokea kwa kiongozi mkuu wa act,kule geita,bukoba na mbeya

Umesahau tu....Kikwete alizomewa Mbeya na msafara kurushiwa mawe 2010.

Bush alirushiwa kiatu na mwanahabari

Tibaijuka juzi juzi alizomewa pia

Kama unaijua siasa hivyo vitu ni vya kawaida sana....huwezi pendwa na watu wote.

CC mcubic
 
Last edited by a moderator:
Nilidhani nawe ni muwazi kama lilivyo jina lako. ACT Wazalendo manatakiwa kuuridhisha umma wa watz kuwa vyanzo vya mapato yenu ni halali na vinaendana na matumizi yenu. Hiyo itajenga misingi ya kuaminika miongoni mwa wananchi wazalendo. Kinyume chake uadilifu wa Chama na viongozi wenu utakuwa mashakani.

Na tayari wananchi tuna Mashaka makubwa juu ya matumizi makubwa wanayoyafanya ukilinganisha na vyanzo vyao vya mapato ambavya havijulikani
 
Umesahau tu....Kikwete alizomewa Mbeya na msafara kurushiwa mawe 2010.

Bush alirushiwa kiatu na mwanahabari

Tibaijuka juzi juzi alizomewa pia

Kama unaijua siasa hivyo vitu ni vya kawaida sana....huwezi pendwa na watu wote.

CC mcubic

Mkuu nimesema vyama vya upinzani
 
Last edited by a moderator:
Rudia kusoma tena kile ulichoandika.....acha kubweka

Narudia kusema kuwa zzk alizomewa na kuvurumishiwa mawe geita,bukoba,na mbeya na sumbawanga.pia wana act wote ni waha tu.
 
Back
Top Bottom