MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,088
- 35,420
Zuberi Yuda Zito Iskariot Kabwe
Huyo sikama haya mazuzu yenu
Zuberi Yuda Zito Iskariot Kabwe
Akuambie we nani
Mmesha maliza huku
Mtanzania anahaki ya kuhoji
Uyo simbowe kijana ume long
Mkuu cdm tuna mtaji wa wapiga kura kibao,tuna wanachama takriban 8million
Huyo sikama haya mazuzu yenu
Ongea lingineKiongozi mkuuuuuuuu,omutwaale
Kwanza kama mnaakili mgehoji chamalenu mchakato Wa mgombea VP, kwa mlivyo mazuzu mnaburuzwa kama mkokoteni
Hawa ndio viongozi wa ukweli,hadi mfadhili wenu ccm anaendelea kuwapa fedha ili mpambane na hayo madume,wacha mchezo wewe.
Sikweli mnamtaji Wa mazezeta
Nyie ndiyo makapuku mnaomtumikia zzk yuda Eskarioti chumia tumbo
Tunamjua mbona
Akamuhoji mungumtu
Unajua walivyo pishana kauli, sipicha pekee hapo nimelenga jambo
atutajie anayegharamia mizunguko yake inayofanana na mbio za mwenge nchi nzima , haiwezekani kuzunguka nchi nzima kwa biashara ya migebuka tu .
Unamjua nani ww